Search results

  1. Donatila

    AC na Feni zipo ila joto limezidi linapoteza hamu ya sita kwa sita

    Habari wakuu, Nimewakumbuka sana... Husika na kichwa cha habari kisemacho AC na Feni zipo ila joto limezidi linapoteza hamu ya kunako sita kwa sita. Bana acha jua linawaka jamani yaani joto ni Kali sana Tena Kali kweli kweli. AC zenyewe kunawakati zinagoma kabisa yaani zinakataa maana joto...
  2. Donatila

    Wanaume wenye"six pack" hutega wanaume zao sio wanawake

    Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari, Niende kwenye mada isemayo wanaume wenye six pack ni kwa ajili ya wanaume wenzao sio wanawake. Wanaume hao baadhi yao hutumiwa na vigogo kuwaburudisha. Wengi wao uanaume haupo tena ila kwa nje wanaonekana ni wanaume. Ni jambo la kusikitisha...
  3. Donatila

    Utapeli wa mapenzi unavyofanyika kwenye siku Valentine Day

    Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari tajwa, Niende kwenye mada isemayo utapeli wa mapenzi unafanyika siku ya Valentine Day. Kama mjuavyo mwezi huu wa pili tar 14 Huwa ni siku ya wapendanao. Siku hii hiitwa Valentine Day na inaadhimishwa na Dunia karibu nzima. Siku hii imekuwa ni ya...
  4. Donatila

    Sponsor's wanavyowanyima uhuru wadada

    Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu kisemacho sponsor's wanavyowanyima uhuru wadada. Kama kuna kitu ambacho wadada wanakipatapata hasa wale wanaopenda kudanga na masponsors basi kukosa uhuru. Wanachungwa kama kondoo, yaani hawawezi kujiachia na kufurahia uhuru wa maisha yao...
  5. Donatila

    Kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wadada wengi

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi. Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa. Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu...
  6. Donatila

    Hata kama umeoa au kuolewa ila kuna yule mpenzi ambaye huwezi msahau

    Habari wakuu, Nimewakumbuka sana, Husika na kichwa cha habari hapo juu, umeoa au kuolewa ila Kuna yule mpenzi usiyeweza msahau. Kama kuna jinamizi linalowatesa wengi waliopo kwenye ndoa ni lile jinamizi la yule mwanamke au mwanaume ambaye Huwa hasauliki kabisa Yani. Yani huyo mpenzi Wala...
  7. Donatila

    Wanawake wakiolewa wanaacha zile "style" za kitandani

    Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Niende moja kwa moja kwenye mada, Wanawake bwana wana vituko sana, yaani kwenye uchumba wanaweka mbwembwe kwenye sita kwa sita ni hatari. Wakiwa na wachumba wanakuwa wanapiga style kali zile za Pon, wakiingia kwenye ndoa wanaziacha...
  8. Donatila

    Utajiri/pesa ndio kiu inayowatesa watu wengi sasa

    Habari wakuu, Niende moja kwa kwa moja kwa mada.. Nionavyo sasa, kuna upepo unaovuma, upepo huo ni wa kila mtu anataka awe tajiri, yaani awe na pesa mingi. Kiu ni kubwa ya watu kutaka kuwa matajiri yaani wenye pesa kuzidi wengine, yaani pesa inasakwa sana. Ajabu ni kuwa pesa nayo imekimbia...
  9. Donatila

    Tupe kama tulivyo inavyopoteza pesa za wanaume

    Habari wakuu, Naenda moja kwa moja kwa mada, Kuna Ile style ya wanaume wakiwa bar inayotwa tupe kama tulivyo, hii ni style pendwa sana ya wanaume. Style hii ni ya miaka mingi, hutumiwa na baadhi ya wanaume walevi, ni kikundi Cha wanaume walevi waliopatana. Imekuwa ikibadilika majina...
  10. Donatila

    Masikini anapenda sana ngono kuliko tajiri

    Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kautafiti kangu kasiko rasmi nilikofanya mi mwenyewe ni kuwa masikini anapenda sana ngono kuliko tajiri. Masikini anapenda sana ngono kwakuwa muda mwingi amekuwa hana la kufanya yaani anakuwa yupoyupo tu. Mara nyingi masikini anakuwa...
  11. Donatila

    Walevi wakilewa na kupenda nyimbo za dini

    Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari, Naandika huku sina mbavu, yaani walevi wanachekesha sana, hasa ukiwakuta katika ulevi wao huko Bar hata barabarani. Yaani Huwa najiuliza Hawa viumbe mbona wakiwa kawaida hawana habari na nyimbo za dini ila wakilewa Sasa hahahaa.. Utakuta wanayarudi...
  12. Donatila

    Vijana ni kama wamejiajiri kwa kuchafua watu mitandaoni

    Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari, Niende moja kwa moja kwa mada, yaani kuna kitu hakijakaa sawa huko kwenye mitandao ya kijamii. Ni kama kuna wimbi la vijana wameamua tu kujiwekea mamlaka zao fulani za kuchafua tu watu. Kutokana na vijana kukosa ajira vijana ni kama wamejiajiri...
  13. Donatila

    Mwanamke nywele bana, yaani unywele halafu wa kwake sio fekero

    Habari wakuu, Au nasema uongo ndugu zangu... Mwanamke nywele bana, yaani unywele alafu wa kwake sio fekero. Mtoto anaachia unywele unashuka mpaka kwa mgongo jamani. Nywele nzuri safi zinapendeza kwa mwanamke na kivutio kwa mpenzi wake. Hapa siongelei like wigi la Masanja hahaaa na semea Ile...
  14. Donatila

    Dunia inaenda kasi, kulea mtoto wa kiume sasa ni kazi kuliko wa kike

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada yetu isemayo, Dunia inaenda kasi, kulea mtoto wa kiume ni kazi kuliko wa kike. Hapo zamani kidogo, ilikuwa mzazi kulea mtoto wa kike alikuwa na hofu maana alihofia kuwa angeweza pewa mimba. Wazazi wote walikuwa wakali kama Simba kwenye malezi ya...
  15. Donatila

    Mtoto wa mwisho anavyodharauliwa na jamii

    Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari, Niende kwenye mada moja kwa moja, Jamii nyingi za kitanzania zimekuwa na dhana potofu hasa kwa watoto wa mwisho, watoto hawa wamekuwa wakidharauliwa bila sababu. Imekuwa ni kama kasumba sasa kwa baadhi ya jamii ya kitanzania kwa watoto wa mwisho...
  16. Donatila

    Viongozi wa dini mnafanya nini? Mbona mauaji baina ya wanandoa yanazidi?

    Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari, Niende moja kwa moja kwa mada, visasi baina ya wanandoa chanzo cha mauaji ya wanandoa. Kumekuwa na visa mbalimbali baina ya wanandoa kutoana uhai na mauaji hayo yamekuwa yakutisha sana. Wengine wanauana kwa kuchomana visu na wengine wanauana kwa...
  17. Donatila

    Kero wanazopitia watoto wenye mafanikio kiuchumi kwenye familia

    Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Niende moja kwa moja kwenye mada yetu inayosema kero wanazokutana nazo watoto wenye mafanikio ya kiuchumi kwenye familia. Kama mjuavyo kila familia kuna mtoto au watoto wa jinsia zote kike/kiume ambao wanakuwa wanamafanikio kiuchumi. Watoto...
  18. Donatila

    Wanawake na Mbwa wa kizungu mtuambie kazi yake

    Habari wakuu, Niende kwenye mada yetu ya wanawake na Mbwa wa kizungu mtuambie kazi yake. Mbwa amekuwa mlinzi wa binadamu na imezoeleka hivyo, ila Sasa kumekuwa na wimbi la ufugaji wa Mbwa Fulani hivi. Mbwa hao ni Mbwa ambao wanaonekana kama wakishua zaidi, muonekano wao kwakweli unavutia...
  19. Donatila

    Mwanaume kugombania rimoti ya TV ni ushamba

    Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, kisemacho mwanaume kugombania rimoti ya TV ni ushamba. Naandika huku nacheka hapa, kisa kulikuwa hivi, kama mjuavyo siku za sikukuu watu hujumuika na familia. Kilichonichosha ni kwamba kuna mwamba mmoja alikuja kwa familia yetu, kama mjuavyo...
  20. Donatila

    Vijana wa sasa na ndoa ni sawa na 'kubet'

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwa mada yetu tajwa yenye kichwa cha habari kisemacho, vijana wa Sasa na ndoa ni sawa na 'kubet'. Vijana wa sasa wengi wao wanaoingia kwa ndoa wanaingia kwa woga, kwakuwa washaona mabroo na mashangazi walivyokanyaga nyoka hivyo na wao wanapoona jani...
Back
Top Bottom