Kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wadada wengi

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,514
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi.

Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo wameliwa na kuachwa.

Kama kuna kitu kinaumiza mwanamke ni kile cha kuwa kwenye mahusiano na jamaa alafu amle na kumuacha.

Kwanza mwanamke hukaa na maswali kichwani kuwa kwanini huyu jamaa kaniacha, yaani kanionaje.

Achilia mbali maswali, ila kuna ile unakuta mwanamke alishazama, yaani aliingia na mawigi na Kila kitu.

Hapo ndio kilio huanza, na vilio vya wanawake huwa haviishi haraka, hivyo wengi wanabaki ña vilio moyoni.

Wanaume wengi wa Sasa wamekuwa wakifikiria kumkomoa mwanamke kwa kumla na kumuacha.

Wanaume nao wala hawajali hilo, wao ni kuwala wadada na wanakimbia, wasijue kuwa wanaacha majeraha makubwa.

Niwaambie tu wanaume kuwa mpo na mahusiano ya wanawake wenye vilio na mjeraha, ambayo yanaweza kuzua jambo siku moja katika maisha yenu.

Naona wanaume mnavyojiandaa kuwala katika siku ya wapendanao...
 
Hahahahahaha..ila kuna kinyume chake pia ..
 
Ila wanawake ifike mahali wawekwe kwenye 'special group'

Ungeandika anabakwa anaachwa hapo ingeonekana ni kweli anaonewa...lakini kuliwa?wamekubaliana akaliwe si wanapata raha wote hapo ama?

Raha mpate wote,lawama ziende kwa mmoja kweli?
 
Ngoma hapa inakuwa kuviziana. Dada anabana asiliwe, kaka anakwepa asichunwe kabla ya kula. Matokeo yake mahusiano yanakufa. Ni ngumu sana kwa demu kutaka mahusiano bila kuliwa. Unless utaachwa tu.
Kuna ticha nilimuelewa sana. Nampa hela ndogo-ndogo lakini k anabana. Nilichomuelewa alikuwa muoga kugongwa na kuacha. Mapenzi anaonyesha, kwake naenda muda wowte. Ila kuliwa. Siku moja nikamkalisha kikao kumuuliza hivi umewahi kujiuliza mimi nyege zangu anatoa nani? Sikupata majibu ya juridhisha. Nikapita kushoto
 
Back
Top Bottom