Mtoto wa mwisho anavyodharauliwa na jamii

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,513
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Niende kwenye mada moja kwa moja,

Jamii nyingi za kitanzania zimekuwa na dhana potofu hasa kwa watoto wa mwisho, watoto hawa wamekuwa wakidharauliwa bila sababu.

Imekuwa ni kama kasumba sasa kwa baadhi ya jamii ya kitanzania kwa watoto wa mwisho kuonekana hawawezi kujitegemea kimaisha.

Ni ukweli usiopingika kuwa pamoja na kuwa watoto wa mwisho wamekuwa wamelemaa kutokana na mapenzi ya wazazi wao ila bado wapo ambao wanajituma sana na wamefanikiwa.

Watoto wengi wa mwisho wamekuwa wakiogopa kusema kuwa wao ni wa mwisho sababu ya kukwepa kudharauliwa.

Maneno ya kejeli ya hapa na pale huwapata sana watoto wa mwisho, utasikia "mtoto wa mama", hili neno limekuwa kejeli sana kwa watoto hao.

Mijadala mbalimbali inayoendelea mitandaoni pia wachangiaji wake wamekuwa wakitumia kejeli kwa kuwaita wenzao kuwa ni watoto wa mwisho.

Mitaani pia ikatokea kijana akashindwa maisha akawa yupo nyumbani hana cha kufanya, basi hukumbana na kejeli hiyo ya kuwa ni "mtoto wa mama"

Achana na huko tuje ndani ya familia yaani mtoto wa mwisho anadharauliwa, maana yeye anakuta wenzie washatoka kimaisha.

Kama ni wazazi walishastaafu au wameshazeeka, yeye anakuwa ni mtu wa kurandaranda kwa ndugu.

Anapita kwa kaka mara kwa dada kujaribu maisha ili aweze kutoka na yeye, ajabu ni kuwa huko kote anaambulia kudharauliwa kwakuwa tu yeye ni wa mwisho.

Pamoja na hayo yote ila mtoto wa mwisho amekuwa akipendwa na wazazi wake na familia nyingine huwafanya warithi wa Mali hasa wale watoto wa kiume.

Ninavyoandika hapa, mtoto wa mwisho amekuwa hana thamani, anadharauliwa tu pasipo na sababu za msingi kabisa.

Nini hasa kinachofanya mtoto wa mwisho adharauliwe na jamii?

Hawadharauriwi, bali ni jokes tu za hapa na pale. Kwasababu hayo yote yanaishiaga mitandaoni na sehemu za mizaha tu.

Linapokuja swala la uwajibikaji, wana play role yao.
 
Watoto wa mwisho kwa kulalamika...

Dona na wewe ni mtoto wa mwisho?

Asee nina mdogo wangu wa mwisho wa kike ni kauzu kama yeye ndio wa kwanza.
 
Iam last born and proud, najivunia kwa kuwa kwa kiasi kikubwa nimebadilisha historia ya nyumban and my mom she is proud of me!

Katika makuzi yangu nilikuwa kama mbuzi wa kafara kila baya lilikuwa linakuja kwangu kiufupi hata familia yangu yenyewe baadhi hawakuwa wakinielewa pamoja na jamii, sikuwa mkorofi lakini watu wengi waliamini mimi ni lazy sana,

Lakin am proud maana nyumban hakuna maamzi yanaweza kufanyika bila mimi kuruhusu.
 
Back
Top Bottom