Wanawake wakiolewa wanaacha zile "style" za kitandani

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,513
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Niende moja kwa moja kwenye mada,

Wanawake bwana wana vituko sana, yaani kwenye uchumba wanaweka mbwembwe kwenye sita kwa sita ni hatari.

Wakiwa na wachumba wanakuwa wanapiga style kali zile za Pon, wakiingia kwenye ndoa wanaziacha.

Wanaume wanavurugwa na ma style ya mguu chaga mguu neti, zingine zinaitwa za kichina china huu haa.

Wanawake wajanja bana yaani wanawachanganya tu wanaume kuwa wao ni mafundi wa sita kwa sita.

Balaa linaanza pale wanapoolewa na kuwekwa ndani zile mbilingembilinge za kunyumbilika zinapotea kabisa.

Wanawake wakiingia tu ndani ya ndoa, wanaanza upya, yaani yale maseke seke yote ya kitandani yanaachwa kule.

Wanaume wanabakia kupewa style moja ya kifo cha mende aliyekufa mwenyewe sio aliyepuliziwa dawa maana huyo anakuwa anajigeuza geuza sana.

Alisikika mwanaume mmoja akiwaambia wenzake na wenzake wakasema na wao janga ni lile lile..

Sasa tusikie na kwenu wanaume je ninkweli wanawake wanabadilika zile style za mapenzi kitandani?
 
Ukioa mwanamke kwa kupagaishwa na staili za kitandani hujaoa MKE Bali jini
 
Balaa linaanza pale wanapoolewa na kuwekwa ndani zile mbilingembilinge za kunyumbilika zinapotea kabisa.

Wanaume wanabakia kupewa style moja ya kifo cha mende aliyekufa mwenyewe sio aliyepuliziwa dawa maana huyo anakuwa anajigeuza geuza sana.
Hahaha..
Baadaye wanaanza kulalama mwanaume akienda kutafuta malisho nje halafu akakolea huko
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Niende moja kwa moja kwenye mada,

Wanawake bwana wana vituko sana, yaani kwenye uchumba wanaweka mbwembwe kwenye sita kwa sita ni hatari.

Wakiwa na wachumba wanakuwa wanapiga style kali zile za Pon, wakiingia kwenye ndoa wanaziacha.

Wanaume wanavurugwa na ma style ya mguu chaga mguu neti, zingine zinaitwa za kichina china huu haa.

Wanawake wajanja bana yaani wanawachanganya tu wanaume kuwa wao ni mafundi wa sita kwa sita.

Balaa linaanza pale wanapoolewa na kuwekwa ndani zile mbilingembilinge za kunyumbilika zinapotea kabisa.

Wanawake wakiingia tu ndani ya ndoa, wanaanza upya, yaani yale maseke seke yote ya kitandani yanaachwa kule.

Wanaume wanabakia kupewa style moja ya kifo cha mende aliyekufa mwenyewe sio aliyepuliziwa dawa maana huyo anakuwa anajigeuza geuza sana.

Alisikika mwanaume mmoja akiwaambia wenzake na wenzake wakasema na wao janga ni lile lile..

Sasa tusikie na kwenu wanaume je ninkweli wanawake wanabadilika zile style za mapenzi kitandani?
We dada unatutetea sana nakupenda bure mlokole modern
 
Si bora hata hao wanaopewa kifo cha mende kuliko wale ambao hawapewi kabisa na ni wengi wao.
 
ukiona kaziacha ujue wanapewa wengine, akili kum kichwa bwasheeee
 
Back
Top Bottom