AC na Feni zipo ila joto limezidi linapoteza hamu ya sita kwa sita

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,513
Habari wakuu,

Nimewakumbuka sana...

Husika na kichwa cha habari kisemacho AC na Feni zipo ila joto limezidi linapoteza hamu ya kunako sita kwa sita.

Bana acha jua linawaka jamani yaani joto ni Kali sana Tena Kali kweli kweli.

AC zenyewe kunawakati zinagoma kabisa yaani zinakataa maana joto Kali.

Njoo Sasa kwa Feni za mchina yaani kuna wakati zinapuliza joto.

Kama mjuavyo lile tendo letu linahitaji kuwepo na hali ya hewa nzuri hasa ya ubaridi yaani wa asili sio feki.

Hapo ni kwa wale wenye AC ndio walau wanapata kautamu kunako sita ila sio kama wale walio mikoa ya baridi.

Ukija kwa wale kina Fulani yaani Feni la mchina nalo linajitahidi kupuliza ila Bado si sawa na hali halisi ya baridi.

Ikumbukwe suala la sita kwa sita linaendana na hali ya hewa, hivyo hii ya Sasa jamani hapana.

Walio mikoa ya Baridi wanaelewa ninavyoandika hapa maana kule wanafurahia utamu sana.

Hali inaruhusu bana maana wanakuwa wanatafuta joto kwa mabebe zao.

Tuambi vile hali ya joto imekuathiri katika tendo huko Dunia ya kwako.

Hili sio joto ni moto.

Donatila
 
Back
Top Bottom