Wanawake na Mbwa wa kizungu mtuambie kazi yake

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,515
Habari wakuu,

Niende kwenye mada yetu ya wanawake na Mbwa wa kizungu mtuambie kazi yake.

Mbwa amekuwa mlinzi wa binadamu na imezoeleka hivyo, ila Sasa kumekuwa na wimbi la ufugaji wa Mbwa Fulani hivi.

Mbwa hao ni Mbwa ambao wanaonekana kama wakishua zaidi, muonekano wao kwakweli unavutia zaidi.

Jinsia zote yaani wanawake kwa wanaume wamekuwa wakifuga Mbwa hao wakubwa kwa wadogo.

Wanaume wao hupendelea zaidi Mbwa wakubwa ila hawa wanawake wanapenda kukaa na vimbwa vidogo.

Kiukweli vimbwa hivi ni vizuri kwa muonekano kwa nje. Vinamanyoya ya kuvutia yaani kupendeza.

Wanawake ndio wapenzi wa hivi vimbwa yaani wanavipenda sana, wanakuwa navyo mda wate wakiwa nyumbani.

Wengine wanalala navyo kwa kitanda yaani kama mtu na bebe wake vile. Hakika kama ni mahaba na vimbwa ni balaa.

Sasa wanawake mtuambie Leo nyie vile vimbwa tofauti na kuvipenda kwa uzuri wake mtuambie kazi yake nyingine.

Maana mahaba mliyonayo kwa vidog vyeny inaonyesha Kuna la zaidi .
 
Wanavitumia kwa ajili ya kupigia deki, ndio maana vingi unakuta vimetolewa Yale meno manne ya mbele (juu na chini), pamoja na kucha.

Unaambiwa vinaweza sana hiyo kazi, ndio maana vikipotea wanaviwekea dau kubwa kwa atakaye vipata.
 
Back
Top Bottom