Sponsor's wanavyowanyima uhuru wadada

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,514
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu kisemacho sponsor's wanavyowanyima uhuru wadada.

Kama kuna kitu ambacho wadada wanakipatapata hasa wale wanaopenda kudanga na masponsors basi kukosa uhuru.

Wanachungwa kama kondoo, yaani hawawezi kujiachia na kufurahia uhuru wa maisha yao kabisa.

Hawaruhusiwi kuwa karibu na wanaume wengine, yaani wakionekana wananyanyaswa .

Wanatishiwa kuwa watanyang'anywa vitu kama magari, hata biashara zao kufungwa na kutishiwa kuharibiwa maisha.

Kifupi wadada wanaodanga na masponsors wengi wao ni kama wafungwa yaani wapo jela ndogo.

Kwanza wamewekewa GPS Kila Kona wanaonekana, yaani ni kama wamevaa ila Bado wanaonekana utupu.

Ninavyoandika hapa kuna dada mmoja analia hapa kadakwa na kijana barubaru, yaani duka linafungwa.

Kama masihara na gari amenyang'anywa hapa na ameambiwa asiende kwenye nyumba aliyopangishiwa.

Kwakweli ni hatari, wadada wanaotegemea masponsors ni kama watumwa...

Ngoja niendelee kuona dada anavyovuliwa wigi hapa hahahaaa...
 
Kuna pisi moja yalimkuta mwaka jana mpaka sasa hajawa sawa kavurugwa kapata uchizi.

Sisapoti hiyo life style yao ila nae akili hana, mwaja wa 6 mjini hajajiongeza hata kumiliki vitu vyake mwenyewe mwshowe kafumaniwa kanyang'anywa kila kitu kabaki na simu tu.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu kisemacho sponsor's wanavyowanyima uhuru wadada.

Kama kuna kitu ambacho wadada wanakipatapata hasa wale wanaopenda kudanga na masponsors basi kukosa uhuru.

Wanachungwa kama kondoo, yaani hawawezi kujiachia na kufurahia uhuru wa maisha yao kabisa.

Hawaruhusiwi kuwa karibu na wanaume wengine, yaani wakionekana wananyanyaswa .

Wanatishiwa kuwa watanyang'anywa vitu kama magari, hata biashara zao kufungwa na kutishiwa kuharibiwa maisha.

Kifupi wadada wanaodanga na masponsors wengi wao ni kama wafungwa yaani wapo jela ndogo.

Kwanza wamewekewa GPS Kila Kona wanaonekana, yaani ni kama wamevaa ila Bado wanaonekana utupu.

Ninavyoandika hapa kuna dada mmoja analia hapa kadakwa na kijana barubaru, yaani duka linafungwa.

Kama masihara na gari amenyang'anywa hapa na ameambiwa asipende kwenye nyumba aliyopangishiwa.

Kwakweli ni hatari, wadada wanaotegemea masponsors ni kama watumwa...

Ngoja niendelee kuona dada anavyovuliwa wigi hapa hahahaaa...
Kwa nini wanataka kutumikia mabwana zaidi ya mmoja?

Huo si umalaya huo kweli?

Yani kwa sponsor hela na mali wanataka, na kwa barubaru ndomboo wanataka pia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom