Wanaume wenye"six pack" hutega wanaume zao sio wanawake

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,513
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Niende kwenye mada isemayo wanaume wenye six pack ni kwa ajili ya wanaume wenzao sio wanawake.

Wanaume hao baadhi yao hutumiwa na vigogo kuwaburudisha.

Wengi wao uanaume haupo tena ila kwa nje wanaonekana ni wanaume.

Ni jambo la kusikitisha kwakweli wanaume hasa vijana wetu wa sasa.

Kutwa wanaume hao wanashinda JIM kwa kufanya mazoezi kwa lengo la kuwinda yaani kutega wanaume wenzao.

Ajabu ni kuwa wanawake hudhania kuwa wanaume Hawa hufanya mazoezi kwaajili yao wao, kumbe sio.

Unakuta wanawake wanavutiwa nao sana lakini hawana uanaume.

Wengi wao wameshabomolewa huko nyuma zamani wamebaki na vifua tu.

Wanavaa mavazi mazuri ya kuwabana vifua vyao kuwatega wanaume wenzao.

Nasemaje wanavaa vikaptula tena vyeupe ila sio kwa ajili yenu wanawake ni kwa wanaume wenzio wanaowageuza.

Nyie wanawake endeleeni kuwapenda hao wanaume ila hawana mpango na nyie wao. Wanawinda kama nyie mnavyowinda.

Kuna mwanamke mmoja analia kwa kwikwi hapa aliolewa na six pack Sasa anajutraaa...
 
Kama Mmeo/bofriend wako ni Kifutu au Kimbaumbau mkavu kama ukuni tulia.
Ulichofanya ni Generalization, mwanaume unaanzaje kukosa mwili uliojengeka! Tupunguze wivu kwa watu wenyw Six pack zao, kama unaona ni rahisi mwambie mmeo pia azitafute na kama unachukulia poa njoo kwangu uone kama utamrudia huyo kifutu wako, utaondolewa muwasho wooote mpaka usahau machungu ya dunia.
 
Six Packs ni nini
Ni misuri ya tumbo ambayo inaonekana zaidi endapo mtu atafanya mazoezi ya Cardio na sehemu ya turbo mafuta kupungua na misuli kutuna...THAT.

Hii definition ya Six Pack sioni palipotajwa ushoga, anyway Aggy pitahuku hana Six pack, James delicious hana Six pack, Lokole, Noel, Bobrisky, kisura wa mbea, mskari wa zenji, kaoge, Scolfid....list to the Moon.

Mashoga wasiokuwa na Six pack ni wengi kuliko wenye Six pack, kuna mashoga wengi mtaani kuliko gym, nikikwambia unitajie shoga hata mmoja mwenye Six pack huwezi taja hata mmoja.
 
_20240217_180811.JPG
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Niende kwenye mada isemayo wanaume wenye six pack ni kwa ajili ya wanaume wenzao sio wanawake.

Wanaume hao baadhi yao hutumiwa na vigogo kuwaburudisha.

Wengi wao uanaume haupo tena ila kwa nje wanaonekana ni wanaume.

Ni jambo la kusikitisha kwakweli wanaume hasa vijana wetu wa sasa.

Kutwa wanaume hao wanashinda JIM kwa kufanya mazoezi kwa lengo la kuwinda yaani kutega wanaume wenzao.

Ajabu ni kuwa wanawake hudhania kuwa wanaume Hawa hufanya mazoezi kwaajili yao wao, kumbe sio.

Unakuta wanawake wanavutiwa nao sana lakini hawana uanaume.

Wengi wao wameshabomolewa huko nyuma zamani wamebaki na vifua tu.

Wanavaa mavazi mazuri ya kuwabana vifua vyao kuwatega wanaume wenzao.

Nasemaje wanavaa vikaptula tena vyeupe ila sio kwa ajili yenu wanawake ni kwa wanaume wenzio wanaowageuza.

Nyie wanawake endeleeni kuwapenda hao wanaume ila hawana mpango na nyie wao. Wanawinda kama nyie mnavyowinda.

Kuna mwanamke mmoja analia kwa kwikwi hapa aliolewa na six pack Sasa anajutraaa...
umenikumbusha ile muvi mfalme anapiga mkono kinyama ila hana marinda.
 
Back
Top Bottom