Search results

  1. M

    Black Americans wanaondoka Tanzania na hizi ndio sababu zao

    Kama mnavyojua hawa black Americans walikuja kwa kasi sana hapa Tanzania ila kwa sasa wanaondoka kwa wingi na hizi ndio baadhi ya sababu wanazozitoa ..ishu ya viza, kupata permit imekuwa ni ishu mpaka inawabidi kila baada ya miezi mitatu watoke nje ya nchi ili wagongewe viza nyingine...
  2. M

    Msaada; Nime download photoshop imenigomea kufunguka

    Wakuu nime download Photoshop zaidi ya mara tano kila nikifungua inaniletea huu ujumbe Na nikiifungua manually inaniletea option ya kulipia ingawa niliyodaownload ni cracks
  3. M

    Amos makalla ungeanza na wamachinga dar

    Mkuu wa mkoa wa dar huuni ujumbe kwako.... Achana kwanza na omba omba ungeanza na wamachinga waliojenga vibanda vyao kwenye njia za watembea kwa miguu kwani wamekuwa kero kubwa sana Wamefanya jiji limekuwa chafu sana yaani mpaka aibu kwa wageni kwa kweli.
  4. M

    Tatizo la kuzeeka haraka

    Wakuu habari za jioni? Mimi ni kijana wa miaka 32 kuna tatizo kwa kweli limekuwa likinikosesha raha sana, nimeona nikilileta hapa jamvini ninaweza kupata suluhisho. Kama nilivyoainisha hapo juu umri wangu ni miaka 32 lakini nina muonekano kama wa mtu mwenye miaka 40+ , yaani imefikia...
  5. M

    Huyu jamaa tumuweke kundi gani?

    Gongo la mboto leo jioni nimemkuta huyu chinga akiuza machungwa kwenye mazingira hatarishi kwake na kwa wateja wake
  6. M

    Ndugu yetu Hashim Thabit now yupo Taiwan anacheza Basketball

    Inavyoonekana huyu ndugu spirit yake ya upambanaji ipo juu Sana, licha ya mambo kumuendea kombo kwenye ligi ya nba. bado hajakata tamaa anaendeleza mapambano na bila Shaka anaendelea kupiga hela za kigeni. Kwa mujibu wa habari kutoka marekani Hashim Thabit kwa sasa ni milionea coz hela zake za...
  7. M

    Hili tatizo linasababishwa na nini?

    Wakuu nime download uTorrent ila kila nikiifungua inaniletea huu ujumbe tatizo litakuwa nn?
  8. M

    Msaada wa setup za Adobe illustrator ya 2019

    Samahani wakuu km kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni msaada wa hizo set up zimenihangaisha tokea asubuhi mpaka jioni bado sijafanikiwa. Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  9. M

    Msaada specifications za laptop

    Wakuu naombeni msaada Nataka kununua laptop kwa mtu ila sijajua jinsi ya kuangalia specifications nikiwa na maana ram, I core na vinginevyo Ni sehemu gan kwenye laptop naweza kuona specifications? Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  10. M

    Bangi ya laki nne ndio mmfunge mtu kifungo cha maisha kweli?

    Nimeisoma hii habari kwenye gazeti la Mwananchi la leo imenisikitisha sana. Yaani bangi ya laki nne ndio utoe hukumu ya kifungo cha maisha? Najaribu kupiga hesabu ya umri wa mtuhumiwa ambao ni miaka 26 na muda atakaokaa gerezani, hakika ni hasara kwa nchi. Najiuliza hawa waliokuwa wakitunga...
  11. M

    Maelezo haya ya huyu beberu yanatudhalilisha Sana waafrika

    Je kuna ukweli wowote hpa
  12. M

    Vitu gani vya kuzingatia kwa mtu anayeanza kujifunza graphic design?

    Salaam wakuu. Kwa muda sasa nimekuwa nina interest ya kujifunza graphic design ila sijajua pa kuanzia, nimekuwa niki Google na kuangalia video YouTube lakini bado sijapata mwanga. Sana Sana nimekuwa naona program zinazotumika ambazo ni Photoshop, in designer na illustrator sijajua hizi program...
  13. M

    Kinachoendelea Uchaguzi Mkuu nchini Ghana

    Ikiwa imebaki siku moja kabla ya uchaguzi mkuu nchini kufanyika. Tunataarifiwa mpaka sasa hakuna hta mtu mmoja aliyepoteza maisha, hakuna mgombea aliyeenguliwa na tume, hakuna vurugu zozote zilizotokea mpaka polisi walazimike kupiga mabomu ya machozi. Wagombea wote wanapiga kampeni kwa uhuru...
  14. M

    Kwanini Serikali Tanzania inawachukulia poa diaspora

    Naandika hili bandiko nikiwa nimetoka kuangalia video ya traveling sister huko YouTube. Kwa msio mjua traveling sister, huyu dada ni Mmarekani mweusi ambayo ameolewa na Mtanzania na wanaishi Arusha. Sasa kwenye hiyo video wamekutana na diaspora wengine wanaoishi hpo Arusha wakiwemo Wajamaika...
  15. M

    Kampuni ya mwananchi yaingia kwenye biashara ya kusafirisha vifurushi, shirika la posta urasimu sasa basi!

    Wakuu km heading inavyojieleza kampuni ya mwananchi ivi karibuni itaanzisha huduma ya usafirishaji wa vifurushi kwenda mikoani .km mnavyojua hii huduma ilikuwa inahitajika mno, especially kwa wajasiriamali kwenye kutuma bidhaa zao kwa wateja walioko mikoa mbalimbali hpa nchini Kudos kwa kampuni...
  16. M

    Hivi zaidi ya kambi ya jeshi Mafinga kuna kitu gani kingine?

    Wakuu imekuwa kawaida kila unaposkia inazungumziwa mafinga iwe kwenye taarifa ya habari hta humu jamvini kwa namna moja ama nyingine itakuwa inazungumziwa kambi ya jeshi. Sasa najiuliza huko mafinga zaidi ya kambi ya jeshi kuna kitu gani kingine? Au ni mji wa wanajeshi watupu? Uzi tayari
  17. M

    Tatizo langu na mtandao wa vodacom ni hili hapa!

    Wakuu habari za asubuhi? Kwa wale wenzangu na mimi tunaotumia line mbili mbili bila shaka kuna tofauti tunaiona tunapotumia line ya vodacom na mitandao mingine. Binafsi mie kwa upande wa vodacom natumia hadi elfu hamsini kwa mwezi kwa ajili ya vocha lakini cha ajabu hawa jamaa walivyo makauzu...
  18. M

    Nigeria wana mtihani ' wamchague mwizi au mzee anayekaribia kufa?

    Wakuu kesho ndyo uchaguzi wa nigeria unafanyika na kwa hali ilivyo kuna kila dalili buhari akashinda tena kiti cha urais. Hii ni kutokana na mpinzani wake mr aboubakar atiku kuwa na skendo za kujipatia utajiri alipokuwa mkuu wa bodi ya forodha miaka ya 90 ...na kwa wale wasiomjua mr atiku ni...
  19. M

    Msaada nimesahau password ya window 10

    Wakuu km kichwa kinavyojieleza hpo juu nimesahau password ya kwenye laptop yangu inayotumia window 10 kwa yoyote mwenye idea pliiz anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  20. M

    Girls like you wa maroom 5

    Wakuu huu wimbo nimeubamba ndani siku mbili hizi. Naona umenikolea vibaya sana mpaka leo kutwa nzima nausikiliza Do anybody is familiar with this very nice song?
Back
Top Bottom