Msaada specifications za laptop

mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,860
2,000
Wakuu naombeni msaada

Nataka kununua laptop kwa mtu ila sijajua jinsi ya kuangalia specifications nikiwa na maana ram, I core na vinginevyo

Ni sehemu gan kwenye laptop naweza kuona specifications?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
10,034
2,000
Press button ya windows + R

Itakuja dialogue box andika "dxdiag" then press return button

Huwa kuna kaswali fulani wewe click yes

Hapo utapata info zote unataka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom