Nigeria wana mtihani ' wamchague mwizi au mzee anayekaribia kufa?

mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,492
2,000
Wakuu kesho ndyo uchaguzi wa nigeria unafanyika na kwa hali ilivyo kuna kila dalili buhari akashinda tena kiti cha urais. Hii ni kutokana na mpinzani wake mr aboubakar atiku kuwa na skendo za kujipatia utajiri alipokuwa mkuu wa bodi ya forodha miaka ya 90 ...na kwa wale wasiomjua mr atiku ni mmoja wa mabilionea nchini nigeria ...sasa hpo ndipo ambapo utajiri wake unapoibua maswali mengi na mwisho wa siku wananchi walio wengi nchini nigeria wamemweka kwenye kundi la wezi

Kwa upande mwingine huku rais mtarajiwa mr muhammad buhari afya yake imekuwa inazorota sana kiasi cha kuwapa hofu raia wa nigeria kuwa huenda akafariki kabla hajamaliza muda wake

Na hpo ndipo wananchi wa nigeria wanapobaki njia panda je wamchague nani? Kati ya mwizi na mzee mwenye afya mgogoro?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
euca

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
2,273
2,000
Wampe huyohuyo Buhari kwani ugonjwa ndo kufa,ukja hapa kwetu 2015 yule bwana mwenye white hair naye watu walimwita mgonjwa bt mpaka leo jamaa anadunda tu wale waliojifanya wazma ndo wameshawahi namba huko akhera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
3,985
2,000
Wakuu kesho ndyo uchaguzi wa nigeria unafanyika na kwa hali ilivyo kuna kila dalili buhari akashinda tena kiti cha urais. Hii ni kutokana na mpinzani wake mr aboubakar atiku kuwa na skendo za kujipatia utajiri alipokuwa mkuu wa bodi ya forodha miaka ya 90 ...na kwa wale wasiomjua mr atiku ni mmoja wa mabilionea nchini nigeria ...sasa hpo ndipo ambapo utajiri wake unapoibua maswali mengi na mwisho wa siku wananchi walio wengi nchini nigeria wamemweka kwenye kundi la wezi

Kwa upande mwingine huku rais mtarajiwa mr muhammad buhari afya yake imekuwa inazorota sana kiasi cha kuwapa hofu raia wa nigeria kuwa huenda akafariki kabla hajamaliza muda wake

Na hpo ndipo wananchi wa nigeria wanapobaki njia panda je wamchague nani? Kati ya mwizi na mzee mwenye afya mgogoro?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani akiumwa hatapona? Kwanini wewe unafikiria kufa tu... bora Kuchangua Raisi mugojwa anae jua uchumi kuliko mzima asie kua namwelekeo wa uchumi na fisadi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,612
2,000
Suala la uhai wa mtu liko mikononi mwa Mungu tu. Anaweza akachaguliwa akawa na afya safi akafa kabla hata ya kuapishwa. Zambia walimpata rais akafa kabla ya kumaliza muhula ila akafanya makubwa.
Ikiwa Buhari yuko vizuri wampatie huyo huyo Buhari. Hata hivyo hivi Nigeria yote wanaofaa ni hao tu wawili.

Kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom