Msaada; Nime download photoshop imenigomea kufunguka

mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
3,262
3,392
Wakuu nime download Photoshop zaidi ya mara tano kila nikifungua inaniletea huu ujumbe

Na nikiifungua manually inaniletea option ya kulipia ingawa niliyodaownload ni cracks
20210621_094602.jpg
 
Ume Sha apply hio crack sasa?
Nilidownload ya kwanza ikakubali nimeitumia km wiki wakanitumia meseji ime expire ikabidi nidownload upya sasa kila nikidownload inaniletea huo ujumbe nimejaribu kuitafuta hiyo code sijaipata ila wananiletea option ya kudownload pc repair nimejaribu kuscan kwa kutumia hyo pc repair bado inashindikana
 
Na nikijaribu kui luanch manually inaniletea huu ujumbe kwamba natakiwa nilipie
20210621_202137.jpg
 
Sina uhakika lakini nahisi tatizo litakuwa hpa kwenye iz program
20210621_202518.jpg
 
Nilidownload ya kwanza ikakubali nimeitumia km wiki wakanitumia meseji ime expire ikabidi nidownload upya sasa kila nikidownload inaniletea huo ujumbe nimejaribu kuitafuta hiyo code sijaipata ila wananiletea option ya kudownload pc repair nimejaribu kuscan kwa kutumia hyo pc repair bado inashindikana
Kama inakuzingua sana Tafuta Cs6 portable, unadownload na kutumiA tu.
 
Ipi hyo mkuu? Ni photoshop pia?
Ndio Photoshop Sema yenye we inakuwa packed tofauti. Kwanza ni ndogo pengine mb 100 mpaka 300 pia haihitaji ujuzi wowote unadownload, extract na kutumiA huna haja ya ku install wala kuweka crack
 
jaman nisaidien product key ya adobe photoshop

Nenda Getintopc site. Search adobe Photoshop idownload.

Kabla hujaextract hakikisha PC is disconnected na WIFI au anything (ZIMA WIFI YA PC) then Zima Window threat protection zote. Temper na cloud zote.

Then rudi extract na install.

Ikikamilika washa.

Kama una antivirus yoyote zima tafadhali.

Maana file zipo cracked, ukiwa na data zitajiconnect automatically wakati wa kuinstall kuharibu mambo. Ukiwa na antivirus or threat protection On, kila file unknown sources litakuwa linachujwa kuharibu app kuinstall.

Ninaongea nachojua ilinisumbua sana.

Itapendeza usome kila maelezo plus wana video vya turtorial ya kuinstall.

Kazi kwako.
 
Mi kwangu imeshindikana imenibidi kudownload Photoshop ya cs6 vipi itanifaa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom