Wakuu km kichwa kinavyojieleza hpo juu nimesahau password ya kwenye laptop yangu inayotumia window 10 kwa yoyote mwenye idea pliiz anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] kuna njia Ingia YouTube wameelekeza ila Ukishindwa kuelewa Shusha windowsWakuu km kichwa kinavyojieleza hpo juu nimesahau password ya kwenye laptop yangu inayotumia window 10 kwa yoyote mwenye idea pliiz anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu hiiWakuu km kichwa kinavyojieleza hpo juu nimesahau password ya kwenye laptop yangu inayotumia window 10 kwa yoyote mwenye idea pliiz anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief kuna mtu aliniuzia juu kwa juu sasa nimepoteza mawasiliano nae na hii ni baada ya kuflash simu yangu ambapo hta hyo password ilikuwa kwenye simuMh!..tatizo inaweza kuwa laptop sio yako unataka kuingia au imeibiwa. Kwa hali ya kawaida ni vigumu sn usahau passeord yako tena ya kitu unachotumia almst kila siku
Siku nyingine ukiuziwa kitu chenye password ubadilishe utumie za kwako. Gharama tena unajiongezea na km hujui kupiga window kazi kwako inabidi utafute fundiChief kuna mtu aliniuzia juu kwa juu sasa nimepoteza mawasiliano nae na hii ni baada ya kuflash simu yangu ambapo hta hyo password ilikuwa kwenye simu
Sent using Jamii Forums mobile app