Vitu gani vya kuzingatia kwa mtu anayeanza kujifunza graphic design?

mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
3,262
3,389
Salaam wakuu.

Kwa muda sasa nimekuwa nina interest ya kujifunza graphic design ila sijajua pa kuanzia, nimekuwa niki Google na kuangalia video YouTube lakini bado sijapata mwanga.

Sana Sana nimekuwa naona program zinazotumika ambazo ni Photoshop, in designer na illustrator sijajua hizi program zinapatikana vipi.

Kwa wataalam wa hya mambo naombeni mawazo yenu au a b c za graphic design.
 
Hizi zinauzwa ila ni ghali hivyo kasake pirated copies mtandanoni zipo kibao.

Zingatia hizi principal
  1. Alignment
  2. Repetition
  3. Contrast
  4. Hierarchy
  5. Balance / Balance using tension

Ukizimaster unaweza tengeneza kipeperushi ukakipanga kiasi kwamba ukajua msomaji ataanza kusoma kuanzia hapa aje hapa amalizie hapa yani kama vile unamcontrol
 
Ahsante mkuu izo pirates zinapatikana Google au wapi mkuu?
 
Salaam wakuu.

Kwa muda sasa nimekuwa nina interest ya kujifunza graphic design ila sijajua pa kuanzia, nimekuwa niki Google na kuangalia video YouTube lakini bado sijapata mwanga.

Sana Sana nimekuwa naona program zinazotumika ambazo ni Photoshop, in designer na illustrator sijajua hizi program zinapatikana vipi.

Kwa wataalam wa hya mambo naombeni mawazo yenu au a b c za graphic design.

Zaidi ya yote unapokuwa una design chochote zingatia fonts. Which font to use for something. Kama una shida sana hapo unaweza tumia font aina ya san kwenye design zako inamvuto flani mzuri.

NB; usitumie font ZAIDI ya moja kwenye design, usitumie rangi zaidi ya tatu/nne kwenye design.
 
Zaidi ya yote unapokuwa design chochote zingatia fonts which font to use on something. Kama una shida sana hapo unaweza tumia font aina ya san kwenye design zako inamvuto flani mzuri.
Ahsante Sana mkuu ngoja niucheki huu uzi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom