Kampuni ya mwananchi yaingia kwenye biashara ya kusafirisha vifurushi, shirika la posta urasimu sasa basi!

mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
3,262
3,392
Wakuu km heading inavyojieleza kampuni ya mwananchi ivi karibuni itaanzisha huduma ya usafirishaji wa vifurushi kwenda mikoani .km mnavyojua hii huduma ilikuwa inahitajika mno, especially kwa wajasiriamali kwenye kutuma bidhaa zao kwa wateja walioko mikoa mbalimbali hpa nchini

Kudos kwa kampuni ya mwananchi.
 
Wawaulize wenzao fast jet kilichowapata. Sasa ni zama za uzalendo tu.
 
Miaka hiyo aseee, unaenda pale Scandinavia Kamata unajipanga foleni na kutuma pesa au bahasha, kesho jioni unajua kabisa barua imepo
 
....kama kuna kupigwa jiwe mkuu, kwa nini hata warusiwe kuanza?? Si wangekataliwa juu kwa juu hata kuanza tu hiyo biashara??
Chief watu wabishi sana! Kumbuka hii fursa ilikuwa untapped na inahitajika vibaya sana. Kwa bahati mbaya shirika la posta lilikuwa haliitendei haki hii fursa
 
Back
Top Bottom