Hivi zaidi ya kambi ya jeshi Mafinga kuna kitu gani kingine?


M

mbwewe

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Messages
2,090
Points
2,000
M

mbwewe

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2014
2,090 2,000
Wakuu imekuwa kawaida kila unaposkia inazungumziwa mafinga iwe kwenye taarifa ya habari hta humu jamvini kwa namna moja ama nyingine itakuwa inazungumziwa kambi ya jeshi. Sasa najiuliza huko mafinga zaidi ya kambi ya jeshi kuna kitu gani kingine? Au ni mji wa wanajeshi watupu?


Uzi tayari
 
Crimea

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Messages
6,002
Points
2,000
Age
29
Crimea

Crimea

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2014
6,002 2,000
Mafinga ile ni sehemu ya mkoa kama ilivyo ilala. Usikariri
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
16,062
Points
2,000
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
16,062 2,000
Pia baridi kali
 
M

mbwewe

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Messages
2,090
Points
2,000
M

mbwewe

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2014
2,090 2,000
Mafinga ile ni sehemu ya mkoa kama ilivyo ilala. Usikariri
Najua ni wilaya ya mkoa wa iringa, lakini kila stori utayoskia kuhusu mafinga lazima itakuwa na uhusiano na kambi ya jeshi tht nikauliza
 
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
8,762
Points
2,000
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
8,762 2,000
Mafinga ni maarufu kwasababu makao makuu ya wilaya ya Mufindi yapo hapo mafinga!
Kuna biashara kubwa sana ya mbao
Na vile vile kuna shule kongwe kabisa ambazo alizianzisha Mungai enzi hizo MET kwasasa inaitwa JJ Mungai mwaka 1984!

Na vingine vingi ukitaka nikudadavulie sema
 
M

mbwewe

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Messages
2,090
Points
2,000
M

mbwewe

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2014
2,090 2,000
Mafinga ni maarufu kwasababu makao makuu ya wilaya ya Mufindi yapo hapo mafinga!
Kuna biashara kubwa sana ya mbao
Na vile vile kuna shule kongwe kabisa ambazo alizianzisha Mungai enzi hizo MET kwasasa inaitwa JJ Mungai mwaka 1984!

Na vingine vingi ukitaka nikudadavulie sema
Ahsante mkuu pliiz ongeza nyama km vp
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
25,913
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
25,913 2,000
Mimi ndiye huwa nakata huduma ya maji hapo kila ikifika saa 1 jioni na kuyarudisha saa saba mchana!!
Saivi mvua inanyesha hakuna tabu pia yapo 24hrs, ndio maana nilikuchenjia hapo ofisini siku ile
 

Forum statistics

Threads 1,296,019
Members 498,494
Posts 31,230,952
Top