Huyu jamaa tumuweke kundi gani?

Huyu jamaa tumuweke kundi gani?

mbwewe

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
3,267
Reaction score
3,415
Gongo la mboto leo jioni nimemkuta huyu chinga akiuza machungwa kwenye mazingira hatarishi kwake na kwa wateja wake
20210516_134555.jpg
 
Mkuu hiyo gari Ni aina gani unaendesha
Au Ni usafiri wa uma tuh
 
Umesha sema 'gongo la mboto' hyo kawaida sana...shuka hapo ingia mitaani uko mbona utakuja kufuta picha
 
Dar es salaam kwa sehemu kubwa ni kuchafu sana na kunanuka. Wakazi wake ni wachafu sana.

Kuna majalala kila kona, kuna mitaro yenye maji machafu yasiyotembea yamelala na kuoza hata kuzalisha Mbu.

Kuna chemba zilizojaa vinyesi vya binadamu na Mara nyingine zinazibuka na maji ya vinyesi kuzagaa barabarani

Kuna joto kali na idadi kubwa ya watu, wengi wananuka jasho wake kwa waume

Kuna wanaume wanaotia kinyaa kwani hawana tofauti na wanawake waitwa mashoga

Hali ya hewa kwa ujumla sio nzuri ukiondoa maeneo ya karibu na ufukwe
 
Back
Top Bottom