Search results

  1. Domhome

    Hakika kauli hii ilinishangaza

    Tarehe 08 Desemba 2008 siku ya Jumatatu majira ya saa 4 usiku nilifiwa na shemeji yangu mdogo wake kabisa na wife. Shemeji yangu huyo aliugua kwa zaidi ya wiki mbili na siku alofariki ndo siku aliruhusiwa toka hospitali moja kubwa ya private akiwa na nafuu kabisa. Hata nami niliporudi job majira...
  2. Domhome

    Hisa za NICOL

    Shalom, Mimi ni mmoja wa wenye hisa kwenye Kampuni ya NICOL. Je, kwa wanaofahamu Bei ya hisa Moja kwasasa ikoje?
  3. Domhome

    Hii ni namba ya wapi?

    Shalom, Jana majira ya 19:21 jioni namba hiyo hapo nilikuta imenipigia (Missed call) kupitia line yangu ya Vodacom, nilijaribu ipigia naambiwa namba upigayo haipo. Je, kuna yeyote humu jamvini alishawahi pigiwa na namba hiyo? Kwa Code inaonekana ni namba ya Tanzania japo ukipiga unaambiwa...
  4. Domhome

    Vodacom acheni uhuni...

    Imekuwa ni tabia yenu kuniunga magic voice bila Mimi kupenda na mmekuwa mkinitumia SMS zenu za kitapeli kwenye namba yangu iishiayo ..... 325 Hii ni moja ya SMS yenu mlonitumia Leo SAA 10:08 asubuhi, msinilazimishe kuwahama... +0901767777 Hongera!Umefanikiwa kujiunga sasa na Magic voice!Piga...
  5. Domhome

    Ndugai: Sitarajii tena kugombea Ubunge na hii ni awamu yangu ya mwisho

    Mheshimiwa Ndugai ameaga rasmi Leo kwenye Ibada ya asubuhi katika Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Mikaeli, Kongwa mjini. Alitoa kauli hiyo mbele ya Madhabahu ya Kanisa baada ya kuombwa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo Mchungaji Luzineth Kingamkono, kusalimia waumini wa Kanisa hilo...
  6. Domhome

    Utapeli wa kwenye simu kujifanya Wakala wa Tatu Mzuka! TCRA mpo wapi?

    WALINITUMIA SMS HIZI:- 24 Feb 2019 SAA 2305 +255 745 995 827 alituma SMS hii: Tatu Mzuka (JACKPOT) Hongera Umeshinda TSh.6,000,000/=milioni Sita Katika Droo Ya Saa 11 . Tatu Mzuka Inabadilisha Maisha Yako Kamp No 555111 Tupigie Simu. No, 0768146006. 26 Feb 2019 SAA 2158 +255 768 146 006...
  7. Domhome

    Continental Decorder rudisheni Emmanuel Tv

    Salaam kwa uongozi.... Ni kwanini Chanel ya Emmanuel TV mmeiondoa wakati idadi ya Chanel zenu sasa hazifiki 40 kwa Mteja wa kifurushi cha malipo ya Tshs 11, 999/= kwa Mwezi? Hakika mnakera kwa hili. Pili, ni kwanini pale Mimi Mteja ninapo SCAN Chanel zinaji- double? je, technicians wenu...
  8. Domhome

    Idara ya Maji Kongwa Jirekebisheni !

    Idara ya Maji hapa Kongwa imekuwa ni kero na usumbufu ulopitiliza kwa wateja wake hasa kwenye malipo ya bili za Maji. Wanataka wateja walipie bili zao Benki (NMB) jambo ambalo ni zuri kwa udhibiti wa mapato yao, kero ni pale unapolipa na kesho yake uendapo Ofisini kwao kuwaonyesha bank...
  9. Domhome

    Basi la Lucky Star pulizeni dawa ili kuua Kunguni

    Jumatano ya 17 Januari 2018, nilisafiri na basi la Lucky Star toka Mwanza kwenda Dodoma, pale Mwanza tuliondoka saa 7:30 mchana na tulifika Dom saa 7 usiku. Basi lile japo kwa muonekano liko vizuri lakini ilikuwa ni mateso kwa abiria tulosafiri nalo siku ile kwani Kunguni walitushambulia mno...
  10. Domhome

    Rutabo Sec School, Muleba- Kagera, naomba kufahamu haya

    Salaam, Kijana wangu Kachaguliwa Kujiunga Kidato Cha tano Shule hii Kusomea Mchepuo wa HKL..... Kama Kuna yeyote anae ifahamu while hii anisaidie yafuatayo: 1. Je, shule ni ya mchanganyiko? 2. Sare zao ni zipi... 3. Ubora wa shule kielimu.... 4. Ada kwa shule za serikali..... 5. Je, kufika...
  11. Domhome

    CDA jirekebisheni...

    Inakuwaje faili la plot ya mtu halionekani kwa zaidi ya mwezi sasa? Nimenunua kiwanja kwa mtu,, tumekamilisha vigezo vyote...mwisho mnanitaka kuleta picha 6 za aliye niuzia Kiwanja......naleta picha na hapo ndo black bla zinaanza, faili halionekani na kila Siku njoo kesho njoo Kesho bila...
  12. Domhome

    Tulipofika Pabaya

    Tulipofika ni pabaya……Hebu ona jinsi watu wanavyosaka ajira kwa kasi ya ajabu, kama huyu jamaa: RE: APPLICATION FOR EMPLOYMENT I refer to the recent death of the Technical Manager at your company and hereby applying for the replacement of the deceased Manager. Each time I apply for a...
  13. Domhome

    Majaribu Mengine......

  14. Domhome

    Kiwanja kinauzwa Dom

    Kipo Kikuyu Dodoma, umbali wa mita 30 toka lango kuu la kutokea la St. John’s University Size yake ni 29ft x 51ft. Kina Lease ya miaka 33. Kizuri Kwa Kujenga hostel. Bei ni maelewano. Mawasiliano zaidi Ongea na mwenye Kiwanja Kupitia: Airtel +255 783 166 325 au Voda: +255 767 166 325
  15. Domhome

    Kumbe mambo haya bado yapo!

    Wakuu, Nimepokea Email hii toka Abidjan, Cote D'ivoire: From: Augustina Lina Eugena [rose_00100_1@yahoo.co.jp] To: Domhome cc: Subject: Email From Augustina Eugena [bayes][heur][bcc] Dearest in Christ, Heavenly Father, most Gracious and Loving God, I pray to you that you abundantly...
  16. Domhome

    Golden pride completion of mining activities at nzega.

    HII NI MESSAGE ILIYOTOLEWA NA MENEJA UCHIMBAJI MADINI YA DHAHABU PALE NZEGA, ILIYOTOLEWA JANA KUWAJULISHA WAFANYAKAZI WOTE PALE RESOLUTE KUWA MGODI SASA UMEFIKIA MWISHO. Tafadhali endelea mwenyewe!!! Dear All, As of 4:00pm on the 30th January 2013 Scheduled Mining activities at Golden Pride...
  17. Domhome

    Natafuta mawasiliano ya kiwanda cha Alaf

    Niliwaandikia email (sales@aluminiumafrica.com) hawa jamaa siku ya Ijumaa, 18 Januari 2013 nikitaka kujua bei ya Mabati ya "IT Maxcover" Gauge 28, kwa Mita moja ni kiasi gani? Lakini hadi leo hii hawajanijibu hiyo email yangu. Jana mida ya saa 8 mchana nikapiga simu Ofisini kwao namba: +255 22...
  18. Domhome

    LoveMeter - Airtel Jirekebisheni....

    Kila siku napokea sms toka Aitel yenye ujumbe huu: "Kupima kama unaendana na mpenzi wako kwa kutumia love meter, tuma love nafasi jina lako nafasi, jina la mpenzi wako kwenda 15334 kwa shs 250= tu" USHAURI KWENU AIR TEL: Sizitaki hizi sms zenu kwenye simu yangu, laa sivyo nitawashitaki!!
  19. Domhome

    Mh. Funga basi hiyo nanihii....

    Kwanini Mheshimiwa alijisahau kiasi hiki?
Back
Top Bottom