Vodacom acheni uhuni...

Vodacom acheni uhuni...

Domhome

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2010
Posts
3,198
Reaction score
3,973
Imekuwa ni tabia yenu kuniunga magic voice bila Mimi kupenda na mmekuwa mkinitumia SMS zenu za kitapeli kwenye namba yangu iishiayo ..... 325

Hii ni moja ya SMS yenu mlonitumia Leo SAA 10:08 asubuhi, msinilazimishe kuwahama...

+0901767777
Hongera!Umefanikiwa kujiunga sasa na Magic voice!Piga *Ikifuatiwa na namba ya rafiki yako,Mfano *755 XXXXXX SASA!Gharama ni Tsh.99 kwa siku.

Acheni utapeli wenu wa kunikata Tsh 99/= @ siku...Tafadhali tafadhali tafadhali. Acheni Utapeli...
 
Pamoja na uzuri wao kihuduma, huu ujinga unakera. Nafhani ni wakati sasa waache kutumia namba zetu kwaajili ya matangazo ya kubet na wajikite kututangazia huduma zao. Unakuta umekaa meseji inaingia sijui the best na ujinga mwingine
Ni wasumbufu tena ni wezi...
 
Pamoja na uzuri wao kihuduma, huu ujinga unakera. Nafhani ni wakati sasa waache kutumia namba zetu kwaajili ya matangazo ya kubet na wajikite kututangazia huduma zao. Unakuta umekaa meseji inaingia sijui the best na ujinga mwingine
Huo upuuzi nafikiria kuna namna ya kuu Block.
 
cha mmsingi usiache simu ikiwa na salio la kawaida tumia M pesa kujiunga' juu kwa juu' wanaita
 
Back
Top Bottom