Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,198
- 3,944
Salaam,
Kijana wangu Kachaguliwa Kujiunga Kidato Cha tano Shule hii Kusomea Mchepuo wa HKL.....
Kama Kuna yeyote anae ifahamu while hii anisaidie yafuatayo:
1. Je, shule ni ya mchanganyiko?
2. Sare zao ni zipi...
3. Ubora wa shule kielimu....
4. Ada kwa shule za serikali.....
5. Je, kufika Muleba ni lazima ufike Bukoba mjini?
6.Matokeo ya kidato cha 6 mwaka huu kwa shule hii....
Ntashukuru Kupata japi dondoo za shule hii kabla sijampeleka mwanangu..