Search results

  1. H

    Hayati Magufuli alitaka kuiangamiza CHADEMA kwa mabavu, Rais Samia amewapa kamba wajinyonge wenyewe

    Tukionee huruma hiki chama cha harakati Kwa sasa dawa ya kuwamaliza imepatikana Uhuru walipewa wanadhihirisha mbele ya watanzania kuwa wao ni wahuni na watapuuzwa wakijiangamiza wenyewe.
  2. H

    Kweli jina linasadifu mwenendo muhusika

    Wakuu leo nimejikuta natamani nami kutoa maoni yangu kwa jukwaa hili Mie si mwandishi mzuri lakini nadhani moderator watanivumilia nifikishe hiki nilichokishuhudia. Nikiri kuwa Mheshmiwa Rais Samia Suluhu Hasani ni mfano wa kuigwa wa demokrasia za kusini mwa jangwa la Sahara...
  3. H

    Ghost voters walimsaidia Ruto kuingia Ikulu

    Najua wengi mnakumbuka kura za maruhani kule Pemba zilivyoishangaza nchi yetu sasa ukistajabu ya Pemba ambapo maruhani walizaliwa baada ya kutokuwa na wagombea wa CUF ujayaona ya Nairobi. Ghost voters (kura za mizimu) ndizo zilizomnufaisha rais Rutto ambapo zinakadiriwa kuwa zaidi ya 500k sawa...
  4. H

    Uchaguzi 2020 Professor Maghembe iachie Mwanga sasa iwe huru

    Niwasalimie watu wa Mungu mlioko humu na pia nitoe pongezi kwa serikali hii kwa kutufikisha kwenye uchumi wa kati hongera sana ingawa bado huku street tumepigika haswa. Hakuna halimashauri katika nchi hii ambayo ina hali mbaya kama ya Mwanga yaani Mwanga ni kama tuko Somalia kila kitu kiko...
  5. H

    TANZIA Katibu Mkuu wa TABOA, Enea Mrutu afariki dunia baada ya kubanwa na kifua ghafla wilayani Mwanga

    Mmiliki wa mabasi ya Kirumo Charo na Katibu Mkuu wa chama cha wamiliki wa mabasi TABOA, Ndg. Enea Mrutu ambaye pia ni diwani wa kata ya Shighatini CCM wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro, amefariki dunia baada ya kubanwa kifua ghafla Mwirange disp. Mwanga! Pia soma > Chama cha Wamiliki wa...
  6. H

    Radio City zone na dhihaka dhidi ya Rais Magufuli

    Kuna kibwagizo kimeanza kusikika kwa radio hii ya Kenya iki-quote baadhi ya maneno yaliopo katika hotuba ya Rais wa Tanzania juzi mwisho wa kibwagizo hicho anaongea mtangazaji maneno yasemayo 'sisi wanasiasa ni kama shetani Awamu hii Rais wetu anadhihakiwa sana nje ya mipaka yetu sijui kwanini
  7. H

    CHADEMA tumewapigania sana, hakuna mnalotudai bali mna deni kubwa kwetu

    Wakuu hiki Chama mi kimenitia majeraha makubwa hakika. Nakumbuka miaka nane ilopita tukiwa na mama yangu kijijini tukisikiliza radio five ghafla ikatangazwa break news mtangazaji Alli Shemdoe akatangaza kupigwa kwa bomu kwenye mkutano wa CHADEMA wa NMC moja kati ya majeruhi alikuwepo Abdi Madava...
  8. H

    CCM acheni kuwaumiza watu! Mtangulizeni Dr. Slaa katika vita ya kuiangamiza CHADEMA

    Nianze kwa kuwatoa hofu dhidi ya corona virus ila niwasihi kufwata maagizo ya wataalam wa afya Wakuu juzi nilibahatika kukutana na mmoja kati ya wakubwa wa chama cha mapinduzi mkoani Arusha katika stori mbili tatu alinambia kuwa moja ya kazi ngumu ambayo CCM na serikali inakaribia kutushinda...
  9. H

    Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu jihadhari kwa CHADEMA hii kuna kitu mbele yao we hujui tuu

    Salam sana wapenzi wana jamvi. mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
  10. H

    Imani za kishirikina: Prof. Maghembe aunda kikosi cha waganga wa kienyeji ili kuwafukuza Tembo waliovamia makazi ya watu Wilayani Mwanga

    Tembo wamevamia makazi ya watu wilayani Mwanga. Wakati sisi wataalam wa wanyamapori tukishirikiana na askari wa wanyamapori kuwaondosha kitaalamu, Mbunge Maghembe ameunda kikosi cha waganga wa kienyeji ili kuwafukuza Tembo hao kwa njia ya kitamaduni. My Take: Kama hao ndio wasomi wetu tuna kazi...
  11. H

    Polisi wilayani Mwanga na operation za kijambazi dhidi ya wahalifu

    Nianze kwa kuwasalimu Pili niwatahadharishe wakazi wa Mwanga na raia wema wanaoishi katika wilaya hii pia kilio hiki kimfikie RPC mkoani Kilimanjaro pia kwa Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi hii. Kumekuwa na unyanyasaji na uporaji wa mali na fedha katika wilaya hii. Kuna kikosi cha askari kanzu...
  12. H

    Serikali ilueleze nani mmiliki wa mashamba ya mkonge yaliyoachwa kuwa mapori

    Nitangulize shukrani zangu kwa muumba wa mbingu na nchi pili niiombeee nchi yangu na vyote vilivyomo tatu niiulize serikali mashamba ya mkonge yaliyo achwa kuwa mapori huku baadhi yetu hatuna hatta kipande cha mita moja ya ardhi nimali ya nani
  13. H

    Magufuli; Jipu La Police Limeiva Mno Litumbue Lisije Pasuka Lenyewe Mh Rais

    Kwanza Kabisa Nitoe Angalizo Kwa Baadhi Ya Asikar Wa Kituo Cha Wilaya Ya Mwanga Walonitisha Kwa Ajili Ya Kuripoti Apa Juu Ya Uonevu Waloufanya Dhidi Ya Vijana Wa Usangi Kwa Kuwakamata Wakiwa Kwenye Vijiwe Vya Bodaboda Na Kuwabambikia Kesi Za Wizi Wa Nyaya Za Umeme Na Narudia Kukumbusha Kuwa Waya...
  14. H

    RPC Kilimanjaro; Wanachofanya Polisi Wilayani Mwanga ni uhalifu dhidi ya ubinadamu

    Kwanza kabisa niombe wanasheria wa Haki Za Binadamu Kutembelea Gereza La Wilaya Ya Mwanga (kiruru) Wakaone Vijana Waliolundikwa Katika Sero Za Gereza Hilo Kwa Makosa Ya Kupambikiziwa Tu. Inasikitisha Kukamatwa Kwa Vijana Zaid Ya 50 Katika Kata Ya Kirongwe Kwa Kosa La Kukaidi Agizo La Kufanya...
  15. H

    Kwa mabilioni haya ya Ruzuku CHADEMA, Tutamjua Mbowe ni Nani

    CHADEMA sasa watakuwa wakipokea mabilioni ya fedha za walipa kodi ni ukweli usopingika kuwa chama chetu kitakuwa na fedha za kutosha kujiendesha. Wakuu chama hik wengi tunajua kuwa kwa muda wote kimelindwa na kutunzwa na wanachama kwa damu na mali zao. Sasa kinachofuata ni chama sasa kulipa...
  16. H

    Kumradhi Sana Dr. Slaa Sikujua Unachojua Ndo Mana Nilikupinga Kwa Nguvu Zote!

    Wakuu Mimi Ni Mmoja Wa Watu Walomwona Dr Slaa Kama Amekengeuka Na Kuasi Harakati Za Kuwakomboa Wanatanzania Wenye Shida Nyingi Walojisababishia Na Walosababishiwa Na Watawala Wenye Kujitizama Wao Kwanza Alivyokataa Issue Ya Lowassa Kupeperusha Bendera Ya UKAWA Nilimwita Mroho Wa Madaraka...
  17. H

    Yule atayetoka chumbani na Kanga ya Mama, nitamwita Baba

    Watanzania wote wangekua kama mimi, mh. Kikwete asingetuingiza hasara ya gari 777 ambazo uchaguzi ukipita hazitakuwa na kazi ya kufanyia. Jamani, hebu tupige kura wao watangaze wamtakae, nasi tumkubali tu, dhambi watapata wao na faida yetu ni amani. Wote tuseme atakayevaa kanga ya mama ndiye...
  18. H

    Ukawa Njoni Hapa Tujadili Mbinu Za Ushindi

    Wana UKAWA Nia Yetu Ni Ushindi Kwa Maslahi Ya Taifa. Na Haswa Wale Wasiojielewa Sasa Lazima Tujipange Kimkakati. 1. Mawakala Wetu Wawe Makini Sana Ndani Ya Chumba Cha Kura Yaani Wawe Wazalendo Wenye Msimamo Wasiokuwa Na Tamaa 2. Tujihadhari Na Mbinu Chafu Za Police Wanaotumiwa Na Chama Tawala...
  19. H

    Prof. Maghembe Hawa Vijana Ulowaweka Kambini Wakafanye Nini

    Salam Zenu!! Wakuu Ndugu Mi Nataka Kumuuliza Mgombea Huyu Wa Ubunge Kupitia CCM Leprofesar Maghembe Kuwa Ni Kazi Gani Anataka Kuwapa Vijana Hawa. Mgombea Huyu Amekusanya Vijana 120 Wa Jimboni Humu Na Kuwaweka Katika Kambi Akichanganya Jinsia Na Kuwapa Jina La Wanajesh Sasa Namuuliza...
  20. H

    Awe Lowassa, Awe Magufuli Mshindi ni Tanzania

    Wakuu Kuna Kama Kuna Jambo Ambalo Ni Muhimu Kusemwa Kwa Wakati Huu Basi Ni Kumlinda Mama Yetu Tanzania Nilitegemea Kuwasikia Viongozi Waandamizi Serikalini Na Vyamani Wakisema Tumlindeni Huyu Mama Mana Akitetereka Sote Hali Zetu Zitakuwa Tete Tushindane Kwa Amani Na Usawa Atakayeshinda...
Back
Top Bottom