Wakuu
Kuna Kama Kuna Jambo Ambalo Ni Muhimu Kusemwa Kwa Wakati Huu Basi Ni Kumlinda Mama Yetu Tanzania
Nilitegemea Kuwasikia Viongozi Waandamizi Serikalini Na Vyamani Wakisema Tumlindeni Huyu Mama Mana Akitetereka Sote Hali Zetu Zitakuwa Tete
Tushindane Kwa Amani Na Usawa Atakayeshinda Imeshinda Tanzania Shime Tume Shime Jeshi La Police Shime Vyama Vya Siasa Amani Na Maendeleo Ndo Utamu Wa Maisha
Mungu Atuvushe Salama Mana Kuna Maisha Baada Ya Uchaguzi