Search results

  1. BOMBAY

    Unahitaji muuza duka la madawa ya binaadam?(pharmacy?

    Habari wa kuu,kuna mdada mwaminifu na mchapa kazi anatafuta kazi ya kuuza duka la madawa hapa Dar es salaam. Taalauma yake ni Nesi ila amekuwa akifanya kazi ktk maduka ya madawa kwa muda sasa.Kama unahitaji nicheki nikuunganishe nae!!! Ahsante
  2. BOMBAY

    Anaolewa tarehe 25 mwezi huu lakini ananipa mzigo kila ninapohitaji

    Aisee, ule wimbo wa Mwana FA BADO NIPONIPO kuna verse inasema "alilala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi. Ninaishi Moro mijini. Natoka zangu kwenda mihangaikoni ghafla nakutana binti njiani,kajihifadhi vizuri kimavazi. Nikamtongoza akakubali na kunipa namba fasta. Siku ya pili...
  3. BOMBAY

    Kuna uhusiano gani kati ya Nyumba tunazoishi au kufanyia biashara na upatikanaji wa riziki?

    Wadau habari zenu, Nimepata frem mahali kwaajili ya kufungua Biashara, kuna Jamaa anahama. Sasa kuna mdada anaeishi hapa kwenye hii nyumba kanambia kuwa hii nyumba haina Riziki/haina baraka ya pesa. Watu wanaoishi hapo wengi hawana maendeleo. Hivyo nisipoteze Pesa zangu bure. Sasa hii...
  4. BOMBAY

    Natafuta saloon ya kununua Dar es salam

    Habari wakuu, Natafuta saluni ya kiume ya kununua hapa Dar es salaam.Au kama kuna mtu mwenye frem inayofaa kwa biashara ya saloon anijuze. Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  5. BOMBAY

    Naomba shauri Kuhusu biashara ya Uber

    Habari Wakuu, Nakusudia kununua ka gari ili nianze biashara ya kutoa huduma ya usafiri(uber,bolt nk) Je nikiwa na driving license class D nitaweza kukubalika au ni mpk niwe na class C3 kama nilivyoambiwa? Je kazi ipoje kwa hapa dar es salaam? Naomba ushauri toka kwa wenye uzoefu na kazi hii...
  6. BOMBAY

    Ni zaidi ya mwaka hatujui mdogo wangu yupo wapi. Nifanye nini ili niwe sawa kisaikolojia?

    Habari wakuu, Bila kupoteza muda ni hivi, tangu mwaka jana mwezi wakwanza hatujui ni wapi mdogo wetu alipo. Alikuwa katavi migodini kama mlinzi wa mgodi wa mtu binafsi kwa muda wa miaka miwili. Bado hatujapata taarifa rasmi kuhusu kupotea kwake lakini kwa mujibu wa tetesi nikwamba. Wapo baadhi...
  7. BOMBAY

    Naomba msaada wa matunda kwa mtu mwenye tatizo la kupoteza uwezo wa kuona mbali

    Habar wakuu... Naishi south Africa nikiwa na tatizo la macho kwa kutokuona mbali. Juzi nimeenda hospital nimepewa miwani ambayo inanisaidia sana .Lakini changamoto za hii miwani ni kama itanifanya niweze kuona mpaka niivae. Je nitumie matunda gani ili nikabiliane na tatzo hili?Naomba msaada wenu.
  8. BOMBAY

    Nimekumbuka moja kati ya tabia za watu wa mkoani kwetu Kigoma

    Habari wakuu, Leo nimejikuta nakumbuka tabia moja mbaya ya sisi wazawa wa Kigoma dah!! Nadhani kila mzawa wa Kigoma atakuwa ameipitia hii tabia ambayo kama hajaifanya basi atakuwa kafanyiwa[emoji23][emoji23]. Tabia yenyewe ni yakupenda kuwabatiza watu majina kulingana na madhaifu au ulemavu...
  9. BOMBAY

    Kwanza ilikuwa ni safari Kutoka Tanzania to Capetown, na sasa ni kutoka Tanzania to United Kingdom. Msaada tafadhali.

    Habari wakuu, Kwa Mara nyingine tena narudi kwenu wana Jf.Nadhan bila kupiteza muda ukipitia post zangu utakuta moja kati ya post hizo nilipost miaka miwili iliyopita,ikiwa na lengo LA kuomba msaada kuhusu safari yangu toka Tz to SA. Shukran sanaKwa msaada wenu. Nasasa narudi tena kwenu kuomba...
  10. BOMBAY

    Ungefanyaje?

    .
  11. BOMBAY

    Sasa kama kweli dada zetu mna kiu ya kupata mme

    Sasa kama kweli Dada zetu mmefikia kiwango hiki cha kutamani kuolewa,sasa kwanini mkiolewa mnajisahau na mbashindwa kuwa na subra na uvumilivu ktk ndoa? Nyie mlio ktk ndoa mbona mmejisahau lakini? Hebu oneni wenzenu wanavyokimbilia wanaume huku
  12. BOMBAY

    Maisha ya Cape Town na masahibu ya wenye nchi

    Assalaam ndugu zangu wana Jf, Natumai baadhi yenu mko salama kabisa,na wale wenye maswahibu mbalimbali Mungu awafanyie wepesi Inshaa Allah. Kwanza kabisa nitoe shukran zangu za dhati kwenu kwa michango ya mawazo mlionipa ktk nyuzi zangu zote zilizohusu safari yangu ya kuja huku SA Capetown...
  13. BOMBAY

    Ndani ya cape town

    Wakuu habari, Nimeshafika hapa cape town kwa Mara yakwanza.Yafuatayo ndio niliyoyakuta hapa Hali ya hewa ni nzuri msimu huu wa summer. Wenyeji wa eneo nililofikia wengi ni warangirangi Tofauti na miji mingine hapa SA,cape town hakuna usumbufu wa polisi kukamata wahamiaji wasio na vibali vya...
  14. BOMBAY

    Naelekea Afrika Kusini; Naombeni uzoefu wenu njiani

    Habari zenu wakuu, Mwisho wa mwezi huu naelekea SA,hivyo naomba kujua yafuatayo; Nauli from TZ to Harare kwasasa. Nauli from Harare to Capetown kwasasa. Pia ningeomba kujuzwa changamoto za njiani na ninazikabili vip. Passport ipo Yellow fever card in the process. Ahsanteni wakuu.
  15. BOMBAY

    Nyumba ya kupanga(Bila dalali)inahitajika

    Habar wakuu, Bila dalali kuhusika,inahitajika nyumba yenye sifa zifuatazo Vyumba vinne(master) Full tiles Maji ya uhakika Parking nk. Iwe maeneo ya Tabata kimanga,kisukuru,external,tabata chang'ombe na maeneo mengine ya karibu na hayo yatafikiriwa Note;Dalali hahitajiki.
  16. BOMBAY

    Kwanini uhamiaji mnatubagua sisi wazawa wa Kigoma?

    Habar; Ninaandika kwa uchungu sana aisee!Muda huu nipo hapa uhamiaji nafuatilia suala la passport Nimezingatia masharti yote yalioidhinishwa kama vigezo vyakupata passport Ikiwa ni pamoja na Kitambulisho cha taifa Cheti changu cha kuzaliwa Affidavit Barua serikali ya mtaa Barua ya maombi...
  17. BOMBAY

    Kaka wa Mange Kimambi aenda tena ofisini kwa RC Makonda

    Kaka mdogo wa mwanadada machachari katika mtandao wa Instagram, Bi. Mange Kimambi ameonekana akiwa ofisini kwa RC Makonda wakiwa na furaha kupitiliza. Hii ni siku chache tu baada ya mwanadada huyo kutoa povu la kleesoft baada ya mdogo wake kuonekana na RC huyo ambaye ni hasimu wake mkuu...
  18. BOMBAY

    Je, kuna ulazima mpaka mtu uwe na safari ya nje ya nchi ndio uombe hati ya kusafiria(Passport)?

    Habar wakuu, Hivi nilazima mpaka uwe na safari ya nchi za nje ndo upewe passport? Maana ktk fomu ya maombi kuna kipengele namba 3 kinauliza -DHUMUNI LA SAFARI -NCHI UNAYOTAKA KWENDA Je kuna ulazima wakujaza kipengele hiki? Nakama kuna ulazima inamaana mwananchi haruhusiwi au hana haki ya...
  19. BOMBAY

    Nimsaidieje huyu nguli wa mchezo wa karate?

    Habari wakuu Nina mdogo wangu ambae ni nguli ktk mchezo wa karate,kiufupi dogo yupo vzr tu. Amekuwa mwalimu wa watu wengi mkoani mwanza mpaka baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakimfuata awafundishe mchezo huu. Kwasasa yupo dar na anataka atumie kipaji chake kujiingizia kipato halali,je nifanyeje...
  20. BOMBAY

    Unfortunately Google play store has stopped,natatuaje tatizo hili?

    Wakuu habari, Kila nikifungua play store,Facebook, email,Browser nk,naandikiwa Maneno hayo. Nimesha restore sim Mara kadhaa lakini tatzo bado lipo pale pale. Msaada wakuu.
Back
Top Bottom