Unahitaji muuza duka la madawa ya binaadam?(pharmacy?

BOMBAY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,682
3,406
Habari wa kuu,kuna mdada mwaminifu na mchapa kazi anatafuta kazi ya kuuza duka la madawa hapa Dar es salaam.

Taalauma yake ni Nesi ila amekuwa akifanya kazi ktk maduka ya madawa kwa muda sasa.Kama unahitaji nicheki nikuunganishe nae!!!

Ahsante
 
Nani kakudanganya kuwa nesi anatoa huduma/anauza dawa kwenye pharmacy??
 
"...amekuwa akifanyakazi kwa muda mrefu..." Kauli ya mtoa mada means anauzoefu. Msaidie mpeni kazi huyo binti kwa kigezo cha "experience"
 
Back
Top Bottom