Nyumba ya kupanga(Bila dalali)inahitajika

Nyumba ya kupanga(Bila dalali)inahitajika

BOMBAY

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
4,744
Reaction score
3,546
Habar wakuu,
Bila dalali kuhusika,inahitajika nyumba yenye sifa zifuatazo

Vyumba vinne(master)
Full tiles
Maji ya uhakika
Parking nk.

Iwe maeneo ya Tabata kimanga,kisukuru,external,tabata chang'ombe na maeneo mengine ya karibu na hayo yatafikiriwa

Note;Dalali hahitajiki.
 
Vyumba vinne vya kulala ikiwa Ni pamoja master
 
Ipo gongo la mboto, Majohe
IMG_2357.JPG
 
Habar wakuu,
Bila dalali kuhusika,inahitajika nyumba yenye sifa zifuatazo

Vyumba vinne(master)
Full tiles
Maji ya uhakika
Parking nk.

Iwe maeneo ya Tabata kimanga,kisukuru,external,tabata chang'ombe na maeneo mengine ya karibu na hayo yatafikiriwa

Note;Dalali hahitajiki.
Nyumba kubwa nzuri ipo kisukuru karibu na Bonyokwa. Ni kubwa nzuri na ina vigezo unavyotaka ila dalali au macho kuona ni mandatory
 
Nyumba kubwa nzuri ipo kisukuru karibu na Bonyokwa. Ni kubwa nzuri na ina vigezo unavyotaka ila dalali au macho kuona ni mandatory
Hao macho kuona+vyuma kukaza=Hatuwataki...kwani gharama ya kodi Ni bei gan per month?
 
Nyumba bado inahitajika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom