kama mkeo ni mtu wa maombi mpaka ya kufunga na ww utakuwa mwana maombi maana ndege wanaofanana wanaruka pamoja kwa hiyo si kitu cha ajabu hapo labda kama ww umeingia mlango usiokuhusu kabisa.Habari wana Jf,natumai mpo salama.
Serikali imetangaza siku 21 za kukaa ndani bila kutoka nje,wewe una mpenzi wako mnaishi eneo moja ila mitaa tofauti.
Siku ya kwanza wakati mnachati na mpenzi wako anakutumia ujumbe huu.Je utafanyaje?ukizingatia sehemu anayoishi wapo watu wanaotoka ktk taifa lake ambalo ni tofauti na lako?
Hayo ndio yamenikuta mwenzenu Kwa huyu Dada toka Zimbabwe. Ushauri please.View attachment 1400887View attachment 1400888View attachment 1400889
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana mkuu ww ulikuwa ni mshika mkia tu unanyanyulia wengine ili wafanye mambo yao poa. na ww ingia katila maombi ya mfungo kama yeye kwani nn ?Habari wana Jf,natumai mpo salama.
Serikali imetangaza siku 21 za kukaa ndani bila kutoka nje,wewe una mpenzi wako mnaishi eneo moja ila mitaa tofauti.
Siku ya kwanza wakati mnachati na mpenzi wako anakutumia ujumbe huu.Je utafanyaje?ukizingatia sehemu anayoishi wapo watu wanaotoka ktk taifa lake ambalo ni tofauti na lako?
Hayo ndio yamenikuta mwenzenu Kwa huyu Dada toka Zimbabwe. Ushauri please.View attachment 1400887View attachment 1400888View attachment 1400889
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha huenda ikawa kweliAmejiweka quarantine na mpenzi wake wa kweli.
Shtuka wewe ulikuwa mchepuko.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama mkeo ni mtu wa maombi mpaka ya kufunga na ww utakuwa mwana maombi maana ndege wanaofanana wanaruka pamoja kwa hiyo si kitu cha ajabu hapo labda kama ww umeingia mlango usiokuhusu kabisa.
HaitawezekanaHamia kwenye karantini yake upesi mno,kama ni kusali mswali wote!
pole sana mkuu ww ulikuwa ni mshika mkia tu unanyanyulia wengine ili wafanye mambo yao poa. na ww ingia katila maombi ya mfungo kama yeye kwani nn ?
Kwani we umekuja duniani kufanyaje...??
Kama hujui ungefanyaje nikupe ushauri huu katafute mboga mboga anza kuuza upate hela ujenge maisha yako kama hela unazo zalisha zaidi hayo mengine ni nakadharika tu.
Just chill and relax time will tell but don't stop to do what your needed to do.
Kusema ukweli sio MTU wakukosa kwenda kanisani kila jumapili,labda Kwa dharura tu.Pia kiumri kanizidi kidogo na anajiheshim kidogo.Upo kwenye mahusiano na mtu usie fahamu tabia zake !! Huwa ni mtu wa dini kweli au ndo kaamua kumrudia muumba wake kipindi hiki?
Sent using Jamii Forums mobile app