Sasa kama kweli dada zetu mna kiu ya kupata mme

Sasa kama kweli dada zetu mna kiu ya kupata mme

BOMBAY

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
4,744
Reaction score
3,546
Sasa kama kweli Dada zetu mmefikia kiwango hiki cha kutamani kuolewa,sasa kwanini mkiolewa mnajisahau na mbashindwa kuwa na subra na uvumilivu ktk ndoa?

Nyie mlio ktk ndoa mbona mmejisahau lakini? Hebu oneni wenzenu wanavyokimbilia wanaume huku
 
Ndoa ni wito ni wachache wanaitikia [emoji127]
 
Wanawake wengi wanapenda kuvaa shela, kuona wanashangiliwa ukumbini but at the end hawafikiri jinsi gani wataenda na kuimudu mikimiki ya ndoa.
Yaani focus yao huwa ni Kwa kuipania siku moja ya ndoa,wanasahau kuwa kuna miaka kibao ya ndoa yenye changamoto lukuki inawasubiri.
 
Mwenzenu huyo hapo, eti nimkimbilie hapana kwa kweli, yaani ananifundisha matusi nimtukane dada wa watu.
IMG_20200130_142948_654.jpg

Nimfanyaje huyu mwanaume mwenzenu.
 
Back
Top Bottom