Ndani ya cape town

Ndani ya cape town

BOMBAY

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
4,744
Reaction score
3,546
Wakuu habari,

Nimeshafika hapa cape town kwa Mara yakwanza.Yafuatayo ndio niliyoyakuta hapa

Hali ya hewa ni nzuri msimu huu wa summer.

Wenyeji wa eneo nililofikia wengi ni warangirangi

Tofauti na miji mingine hapa SA,cape town hakuna usumbufu wa polisi kukamata wahamiaji wasio na vibali vya kuishi(Hii ni nadra sana) hakuna kutembea na passport.

Vibaka wakirangirangi hapa Retreat wamejaa hivyo nikutembea kwa machale.NI HAYO TU,

NINASEHEM YAKULALA NA PESA KIDOGO YAKUNISUKUMA WALAU MWEZI MMOJA.

BADO NATAFUTA KIBARUA CHAKUFANYA KUJIINGIZIA KIPATO HIVYO KAMA KUNA CONNECTION YOYOTE KWA WENZANGU MLIOPO HAPA TUSAIDIANE.
 
Sawa Kiongozi
Ila Umeondoka Tanzania Haraka Tu Wakati Nchi Ipo Vema Na Mambo Mengi Sana Mazuri

Tazama Ufunaji Korosho Na Uuzaji Wake Mbuzi Hawatakunywa Soda

Tanzania Ni Pazuri Nchi Ya Asali Na Maziwa
Nakushauri Urudi Na Wenzako
 
Mimi nilijua uko huko Kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka kumbe unazamia?!!!
 
Sawa Kiongozi
Ila Umeondoka Tanzania Haraka Tu Wakati Nchi Ipo Vema Na Mambo Mengi Sana Mazuri

Tazama Ufunaji Korosho Na Uuzaji Wake Mbuzi Hawatakunywa Soda

Tanzania Ni Pazuri Nchi Ya Asali Na Maziwa
Nakushauri Urudi Na Wenzako
[emoji1] [emoji1] [emoji1] huku sitoki mpaka kieleweke mkuu
 
Hapa cape town na huko kuna umbali kiasi gani mkuu?Ahsante
20181213_154438.jpg

Hiyo ni kwa private car...means bus itakuwa juu ya hapo.
Kuna umbali mkuu
 
Hahaha nimecheka sana we mtu sio mzuri kabisa yaani unamshauri kabisa arudi ebu muache mwenzako apambane bora alivyojiondokea tu kwenye hili jiji

Back
Top Bottom