Naomba msaada wa matunda kwa mtu mwenye tatizo la kupoteza uwezo wa kuona mbali

BOMBAY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,682
3,406
Habar wakuu...

Naishi south Africa nikiwa na tatizo la macho kwa kutokuona mbali.

Juzi nimeenda hospital nimepewa miwani ambayo inanisaidia sana .Lakini changamoto za hii miwani ni kama itanifanya niweze kuona mpaka niivae.

Je nitumie matunda gani ili nikabiliane na tatzo hili?Naomba msaada wenu.
 
-Kula karoti walau siku 21
-Kula mboga mboga kwa wingi (agiza mbogamboga ugali badala ya ugali mbogamboga)
-Kula samaki hapa zaidi lenga mafuta ya Omega 3
-Njegere
-Broccoli (mboga fulani zina kama tunda lililo kama ugali)
-Mbegu za maboga zina zinc inayosaidia mwili kunyonya hizo vitamini zote.
 
Usisahau kitumia bangi kila siku joint moja yaani ule msokoto wa Rizla moja kila siku itasaidia kurekebisha hali hiyo ya ku degenerate. Bangi tumia naturally usichanganye.
 
-Kula karoti walau siku 21
-Kula mboga mboga kwa wingi (agiza mbogamboga ugali badala ya ugali mbogamboga)
-Kula samaki hapa zaidi lenga mafuta ya Omega 3
-Njegere
-Broccoli (mboga fulani zina kama tunda lililo kama ugali)
-Mbegu za maboga zina zinc inayosaidia mwili kunyonya hizo vitamini zote.
Nashukuru mkuu
 
kwa karoti sikushauri kabisa utapata starch na suger tu, ni hybrid (made in England) ya wild yam na yarrow so, not assimilated na mwili.
Unahitaji vyakula vyenye madini ya copper na carbon zaidi thus why i suggested elderberries, even mwani/seamoss and vegetables it will help. Don't forget to use these foods for general health. Remember human body is the system.
Nb: Madini ya zinc ni kwa ajili ya organ ya uzazi both men and women.
 
Back
Top Bottom