Kwanza ilikuwa ni safari Kutoka Tanzania to Capetown, na sasa ni kutoka Tanzania to United Kingdom. Msaada tafadhali.

BOMBAY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,408
2,000
Habari wakuu,

Kwa Mara nyingine tena narudi kwenu wana Jf.Nadhan bila kupiteza muda ukipitia post zangu utakuta moja kati ya post hizo nilipost miaka miwili iliyopita,ikiwa na lengo LA kuomba msaada kuhusu safari yangu toka Tz to SA. Shukran sanaKwa msaada wenu.

Nasasa narudi tena kwenu kuomba msaada zaidi wa kuvuka mipaka ya Africa kuelekea Kwa malkia.

Ni kwamba Nina mjomba wangu ambae ni raia wa Uingereza,sasa ktk maongezi nae ameonyesha interest ya Mimi kwenda kule lakini ni mzito sana ktk kufanya michakato.

Sasa nimerudi kwenu ndugu zangu kuomba muongozo wenu wa nianzie wapi na nimalizie wapi ili nifanikiwe kuikanyaga ardhi ya malkia kutafuta maisha zaidi.

Ninahitajika niwe na nini ili iwe rahisi kwangu kuingia nchini England? Nianzie wapi na niishie wapi?

NB:Msaada unaohitajika toka kwake yupo tayari kutoa ushirikiano.

Ahsanteni sana
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
5,324

Unahitajika kuwa na sababu ya kwenda UK. Inaweza kuwa barua ya ajira, mwaliko wa ndugu, jamaa au rafiki, au hata sababu tu ya kwenda kutalii.

Ila kwa sababu zote hizo unahitajika kuwa na passport.

Kama unakwenda kwa mwaliko wa mjomba wako, basi itahitajika uwe na barua ya mwaliko wa mjomba wako. Ila ujue kwamba hata kwa mwaliko wa mjomba wako utapata kibali cha muda mfupi tu kuishi UK pengine si zaidi ya mwezi 1 au 2.

Kukaa kwa muda mrefu zaidi unahitajika kuwa na sababu kubwa zaidi kama vile kusoma, kuajiriwa au kufany biashara na yote hayo utahitajika kuwa na document zinazothibitisha hayo.

Itabidi pia upate visa na haya yote yaweza kuwa gharama kubwa kutegemea aina ya visa, kama huendi kusoma basi inawezekana ukalipa angalu 1M kupata visa ya muda mfupi wa mwezi 1 hadi 3.

Kwa maelezo zaidi nenda British Council au check mtandaoni.

NB: Kwa bahati mbaya Tanzania imefungiwa kuingia UK kutokana na corona na itachukua muda hadi kufunguliwa. Kila la kheri.
 
Shukran Kwa maelezo mkuu

Sent from my TRENDY PLUS using JamiiForums mobile app
 
S.M.P2503

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
655
1,000
Wewe unataka kumweka mjomba wako matatizoni, na kuepusha hilo ndio maana anakuchunia.. hata ukipewa visa ya kutembelea ya miezo sita kwa mfano, hao wa UK hawakuruhusu kufanya kazi... sasa je mjomba wako yuko tayari kukughalimikia kwa muda wote huo?
Njia Rahisi: Tafuta mzungu wa huko UK, mpe miti ya kutosha na akikubali akuombee fiances visa ambayo ukifika huko UK unaweza kubadilisha na kukaa huko. Vinginevyo, tafuta kazi yenye shortage of skills, mfano IT , nursing au Udaktari... au ukishindwa sana , visa ya masomo, lakini hii ina limits kibao hivyo sio njema kwa kutafutia maisha maana utafanya kazi masaa 20 tu na ikiisha itabidi urudi, ni hayo.
 
Shukran Kwa ushauri mkuu,naahidi nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom