Search results

  1. deejaywillzz

    WiFi Router (HUAWEI B660) inauzwa TZS 200,000

    Habari wakuu, rafiki yangu anauza hii WiFi Router kwa laki mbili (TZS 200,000) kwa yoyote atakayekuwa na nia wasiliana nami. Iko sim unlocked na ina admin web filtering na feature nyingine nyingi tu.
  2. deejaywillzz

    PC DELL Optiplex 3010 DT Inauzwa

    Habari wakuu, rafiki yangu anauza hii Desktop PC (CPU+Monitor+Keyboard+Mouse+Cables) kwa laki sita (TZS 600,000) kwa yoyote atakayekuwa na nia wasiliana nami. Ina Movies, Series na Software za kutosha.
  3. deejaywillzz

    Kuna Data Center (Zanzibar)?

    Habari wakuu, nahitaji msaada wenu. nataka kujua makampuni yanayo toa service ya data center Zanzibar
  4. deejaywillzz

    How do I configure ZTE Router?

    Habari wakuu, Nina router ya zamani ya ZTE ZXV10 W300 nataka iwe ina assign IP address (as DHCP Server) kwenye connected devices/PCs. Kisha PC1 igawe internet kwenye device/PC nyingine. Nafanya hivi sababu port ya internet ya router ni RJ11 na mimi natumia 3g modem. Nimeweka senario hapo chini...
  5. deejaywillzz

    Nahitaji mtaalam wa networking

    Habari wakuu, kuna hii network plan nataka kuitumia nyumbani ila nahitaji msaada wenu jinsi ya kufanya configurations Vifaa nilivyonavyo Router: zxv10 w300 (old router with RJ11 internet port) Switch Desktop PC with server 2012 (yenye network card mbili, DNS Server na Active director) Laptop...
  6. deejaywillzz

    Naomba ushauri wa network design

    Habari wakuu, Kwanza nifanye declaration kuwa mimi sina utaalamu sana kwenye mambo ya networking. Ninafungua ka ofisi kadogo ila nimetengeneza rough diagram lakini naomba ushauri kama ni kitu kinachowezekana.
  7. deejaywillzz

    Kuna mtu alifanikiwa kumtoa .locky virus

    Habari wakuu, .Locky virus amekuwa famous mwaka huu na hadi sasa anasumbua dunia kwa ku encrypt documents na ana ambukiza kwa kupitia email. Kuna mtu aliyepata solution, zaidi ya hunterspy4 AntiVirus
  8. deejaywillzz

    Ku-sharing Linux folder kwenye kompyuta za Windows

    Habari wakuu, Najaribu ku-share folder toka linux kwenda windows. Kwenye windows, folders zinaonekana ila hazifunguki. Zinasema you have no right permissions ila nimeweka permission zote. Natumia samba kushare. Kama kuna mtu anayefahamu tupeane ujuzi
  9. deejaywillzz

    Msaada: did not match sized system/csc/others.xml

    Habari wakuu, Nilikuwa sijatumia simu ya Samsung Galaxy core Plus SM-G350 (Base: G350XXU0ANG4) sijaitumia kwa muda niliiweka tu home. Siku mbili tatu zilizopita nataka kuitumia ikaanza matatizo. Ikishawaka, baada ya sekunde kadhaa au dakika inazima yenyewe. Nikaamua kuifanyia factory reset...
  10. deejaywillzz

    Msaada kuhusu bar code reading

    Habari wakuu, naomba msaada kwa anayejua code ya kusoma bar code au QR code kwa kutumia either PHP au JAVA.
  11. deejaywillzz

    Nini tofauti ya Company Limited na Limited?

    Habari wakuu, naomba usaidizi kwa wale wenye uelewa wa tofauti ya vitu hivi viwili. Endapo mtu anataka kufungua kampuni je kuna tofauti kama jina la kampuni likiwa XXX COMPANY LIMITED au XXX LIMITED ?
  12. deejaywillzz

    Jinsi ya kubana matumizi ya betri kwenye simu

    1. Punguza brightness kwenye simu 2. Zima WiFi / Bluetooth / Data pale unakuwa huitumii 3. Tumia vibration pale inapohitajika. 4. Tumia Airplane Mode ukiwa sehemu isiyo na network reception 5. Funga applications ambazo huzitumii.
  13. deejaywillzz

    Kwanini Ombaomba wasiwe certified na serikali?

    Habari wakuu, nimeshuudia senario zaidi ya tano pale ombaomba anapokuja sehemu za starehe na kuanza kuomba wateja na wanahambulia zero. Unakuta mtu hutambui nani ana shida ya ukweli na nani ni tapeli. Mi nadhani serikali ingewapa vibali au kitu kama utambulisho, wangesaidiwa kirahisi sana.
  14. deejaywillzz

    HELP: How do I recover hp dv1000 bios (Factory version)

    Habari wakuu, nina laptop (HP Pavilion dv1000) ya ndugu yangu alifanyiwa installation ya windows7 na fundi. Note: available drivers are only for windows 2000 na windows xp. Fundi aka install ile software ya kuweka drivers automatic, ikafanya kazi kwa muda kisha blue screen ikawa inatokea mara...
  15. deejaywillzz

    UPIGAJI KURA 2015: Tuelimishane kuhusu BVR maana siielewi.

    Habari wakuu, BVR ni kifupisho cha Biometric Voting Registration system. wanatumia finger print kama key identifier kwenye profile ya kila raia. Swali langu ni kwamba tuta VOTE kwa kutumia finger print au hizo kadi? Na kama tuta VOTE kwa kutumia kadi nini maana ya zoezi lote la BVR, sababu...
  16. deejaywillzz

    Tuelimishane kuhusu BVR maana siielewi.

    Habari wakuu, BVR ni kifupisho cha Biometric Voting Registration system. wanatumia finger print kama key identifier kwenye profile ya kila raia. Swali langu ni kwamba tuta VOTE kwa kutumia finger print au hizo kadi? Na kama tuta VOTE kwa kutumia kadi nini maana ya zoezi lote la BVR, sababu hata...
  17. deejaywillzz

    Kuna mtu anajua CMYK color code za Pen ya Blu na Nyeusi

    Habari wakuu, Nilikuwa natengeneza graphics inayohusisha handwritting ambayo ningependa kutumia rangi inayoonekana real. Kama kunamtu anajua CMYK code colors za peni ya blu au nyeusi naomba anisaidie
  18. deejaywillzz

    Tunza Kadi yako ya Kura kwa umakini, unasemekana kuna watu wana kopi barcode

    Habari wakuu, kwenye kitambulisho chako cha kura upande wa kulia kuna QR code na barcode chini yako ambazo zina unique signature itakayotumika kukutambua wakati wa kupiga kura. Inasemekana kuna watu wanakopi hizo na ku duplicate cadi, kwa habari nilizozipata ameshakamatwa mtu anavyo 30 Tuwe...
  19. deejaywillzz

    Ni OS gani nzuri kwa VOIP setup

    Hapari wakuu, ninataka kufunga VIOP nyumbani kwa kutumia linux as my PBX server kwa kuwa sitatumia gharama nyingi. Kama kuna mtu ana ufahamu zaidi wa VIOP setup ambayo ni cost effective tupeane mawazo
  20. deejaywillzz

    Vijana acheni mambo ya ajabu

    Kuna redio flani nilikuwa naisikiliza leo (21/03/2015) nikasikia mtangazaji anasema"Leo kuna mvuaa fulni amazing" Mvua flani amazing ndio inanyeshaje? Vijana tuache kuwa swaga za ajabu kwani tunapoongea na hizo swaga tunapoteza maana ya maneno napia tusichanganye lugha.
Back
Top Bottom