deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Habari wakuu, nina laptop (HP Pavilion dv1000) ya ndugu yangu alifanyiwa installation ya windows7 na fundi.
Note: available drivers are only for windows 2000 na windows xp.
Fundi aka install ile software ya kuweka drivers automatic, ikafanya kazi kwa muda kisha blue screen ikawa inatokea mara kwa mara. Alipotaka kurudishia windows xp ikagoma.
Nahisi kama ame update bios na sasa imesababisha matatizo ya ku detect some hardware.
Nataka ku revert back the old bios version. Jinsi gani naweza kufanya hilo