Ni OS gani nzuri kwa VOIP setup

Ni OS gani nzuri kwa VOIP setup

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Hapari wakuu, ninataka kufunga VIOP nyumbani kwa kutumia linux as my PBX server kwa kuwa sitatumia gharama nyingi.

Kama kuna mtu ana ufahamu zaidi wa VIOP setup ambayo ni cost effective tupeane mawazo
 
Back
Top Bottom