deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Habari wakuu, BVR ni kifupisho cha Biometric Voting Registration system. wanatumia finger print kama key identifier kwenye profile ya kila raia.
Swali langu ni kwamba tuta VOTE kwa kutumia finger print au hizo kadi? Na kama tuta VOTE kwa kutumia kadi nini maana ya zoezi lote la BVR, sababu hata vitambulisho vya taifa tulichukuliwa finger print so ni kama wanarudia zoezi ambalo lilishafanyika.