Kuna Data Center (Zanzibar)?

deejaywillzz

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
637
224
Habari wakuu, nahitaji msaada wenu. nataka kujua makampuni yanayo toa service ya data center Zanzibar
 
Kaka business has no limitation, ukiendelea na hiyo fikra utaishia kuajiriwa. siku zote think outside the box

Don't take kila kitu kwenye politics, Zanzibar pia wana uwezo wa kujitegemea kama wao

Hivi mkuu unadhani kuweka data centre ni rahisi hivyo?

Moja ya 'ingredients' ya kuwa na data centre ni kuwa na Cheap and Reliable Internet.

Tanzania kuna Internet inayoeleweka kushinda nchi zinazojielewa?
 
Inaweza kuwa ngumu kwako lakini sio kwa wote kaka, its all about your business strategy. Mbona Zantel wanao yakwao, ila sio kwa commercials. Anyway mi nilichokuwa nahitaji sio kubishana kuwa kama inawezekana au haiwezekani.

Ninachohitaji ni kujua kama kuna kampuni inatoa hiyo service au la. Kuhusu uwezekanaji wa kuweka data center au kutowezekana kwangu haitanisaidi.

All I need naangalia option za kuhost system in Zanzibar au niiweke kwenye cloud
 
Kwa cloud imekuwa cheap na reliable zaidi miaka ya sasa.
 
Back
Top Bottom