Nini tofauti ya Company Limited na Limited?

deejaywillzz

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
637
224
Habari wakuu, naomba usaidizi kwa wale wenye uelewa wa tofauti ya vitu hivi viwili. Endapo mtu anataka kufungua kampuni je kuna tofauti kama jina la kampuni likiwa
XXX COMPANY LIMITED au XXX LIMITED ?
 
ni kitu 1.yaani the company is limited by shares na haiwezi kuwa kwenye soko la hisa.
-ila mhusika/wamiliki ndo wataamua waiite company limited/limited.ila ktk usajili ni kwamba the company is limited by shares.
-mfano. supuyamawe company limited/supuyamawe limites.ni kitu 1 cha muhimu kionekane neno limited au unaweza usitumie yote ukatumia jina la biashara tu supuyamawe.
-vyote ni kitu 1 ww ndo utaamua inapendezaje na uiitaje.
 
hii si kweli... Nitarudi baadae kidogo kuweka sawa maelezo.
 
Limited company means the liabilities of shareholders are limited to the amount of capital contributed to the company! That is in case ksmpuni ikifilisika shareholders hawatalipa zaidi ya kiasi cha mtaji walichowejeza kwenye ksmpuni. Limited company in short means the liabilities of shareholders are limited .......kwa hiyo kampuni ikifilisika, Mali za kampuni zikiuzwa na zisipotosha kuwalipa creditors , wanahisa hawatalazimika kuuza Mali zao binafsi (private resources) ili walipe madeni ya kampuni.
Na kutumia supuyamawe ltd au supuyamwe company ltd sidhani kama kuna tofauti. Ila ili mradi biashara unayoanzisha ni kamuni...ninavtofahamu mimi kwa elimu ya darasani wanasema the last word of the company should be limited! This entails that huwezi ukassema supuyamawe bila kuweka neno ltd mwishoni ni kampuni....as far as unaanzisha kampuni last word should be Ltd! Supuya mawe company ltd and supuya mawe ltd hazina tofauti. Asante sana.
 
Habari wakuu, naomba usaidizi kwa wale wenye uelewa wa tofauti ya vitu hivi viwili. Endapo mtu anataka kufungua kampuni je kuna tofauti kama jina la kampuni likiwa
XXX COMPANY LIMITED au XXX LIMITED ?

Ndugu mwana jukwaa. Wengi wamejitahidi sana kueleza na kwa kiasi kikubwa wako sahihi. kwa kuongeza tu, Neno linalihitajika hapo ni "Limited" ndio maana kuna kampuni zinamalizia na company limited na zingine limited tu. kitakachokufanya uweke company au usiweke ni wewe mwenyewe unavyopenda kampuni yako itamkwe na wakati mwingine ukizingatia jinsi unavyotaka kifupi chake kiwe.
Karibu Anjoa Company Limited kama itahitaji kufahamu zaidi.
Elimu ni bure, Fika ofisini kwetu au wasiliana nasi kwa namba hizo hapo chini.
 
je na kampuni ikiitwa supu ya mawe inc. hiyo inamaanisha nini? na makampuni mengine yameandikwa let saya supu ya mawe halafu kwa juu kuna TM?................Thanks in advance
 
ukiona kifupi cha inc.kweny jina la kampuni maana yake iyo kampuni iko incorporated in tanzania/wherever kwa mujibu wa sheria...na ukiona iyo TM ni inastand for trademark kwa maana ilo jina ni registered trademark,so mtu mwengn yyte haruhusiwi kulitumia kwa minajili ya kibiashara pasi na idhini ya mmiliki wa ilo jina au nembo husika.
 
Short clear! Asante sana mkuu.
 
Incorporation is the forming of a new corporation (a corporation being a legal entity that is effectively recognized as a person under the law). The corporation may be a business, a non-profit organization, sports club, or a government of a new city or town.

Sisi wabongo tunavopeleka katiba za kampuni BRELA pia tunafanya incorporation na pia unavopeleka wizara ya mambo ya ndani katiba ya asasi yako pia unafanya incorporation.
 
Last edited:
Incorporation is the forming of a new corporation (a corporation being a legal entity that is effectively recognized as a person under the law). The corporation may be a business, a non-profit organization, sports club, or a government of a new city or town. This article focuses on the process of incorporation

Sisi wabongo tunavopeleka katiba za kampuni BRELA pia tunafanya incorporation na pia unavopeleka wizara ya mambo ya ndani katiba ya asasi yako pia unafanya incorporation.

Me cjaelewa hebu ielezee kiswahili nataka sana kujua maana ya inc.
 
Back
Top Bottom