Search results

  1. MEGATRONE

    Handeni kuna fursa ya Glocery

    Kupitia huu uzi nimejua kwanini watanzania wenye maendeleo ni wachache! Mindset zetu ni changamoto sana! Tuendee kuchangia kwenye ule uzi wa kulana kimasihara wakuu mambo ya fursa tuache sio fani zetu!
  2. MEGATRONE

    Handeni kuna fursa ya Glocery

    Nimejibu watu waliochangia in a positive way peke ake! Walioandika upuuzi kazaneni🚮
  3. MEGATRONE

    Handeni kuna fursa ya Glocery

    Ipo sema Hapa nilipo hiyo fursa watu washaruka nayo maybe vijiji vya jirani! Duka la dawa muhimu vijijini hela ipo sana tu! Af kuhusu kulogana wanalogana wao kwa wao, mgeni hawana shughuli na wewe!
  4. MEGATRONE

    Handeni kuna fursa ya Glocery

    Hapa wanakaa wazigua na wamasai! Ma don ni wamasai ndo wanahitaji huduma za grocery n.k sema ndo hivyo watu wa huku biashara hawajui wanafungua then wakipata hela kidogo wanaanza kufungua ofisi saa 4!
  5. MEGATRONE

    Handeni kuna fursa ya Glocery

    Yapo mengi ngoja niulize af nikupe bei
  6. MEGATRONE

    Handeni kuna fursa ya Glocery

    Habari wakuu! Ukiona fursa ni vyema kushare na wenzako. Kuna kijiji nipo katika wilaya ya Handeni kuna fursa kibao sana! Moja wapo ya biashara ya grocery. Kama una mtaji wa kufungua grocery tuwasiliane kuna hela yako nyingi sana katika hicho kijiji. Waliopo huku wengi ni wazawa hivyo biashara...
  7. MEGATRONE

    Various Positions (Interns) at UNFPA December, 2023

    Uko serious mkuu??
  8. MEGATRONE

    Natafuta furniture kwa bei nzuri

    Habari nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata furniture kwa bei nafuu kidogo! Nimewapigia lifemate wameniambia bei yao inaanza 5m🤣🙌🏽. Naombeni muongozo!
  9. MEGATRONE

    Jux ni msanii ambaye yuko underrated ila ana balaa sana

    Huyu jamaa anajua sana! Na yuko relevant kila siku! Day after day anatoa mangoma na yanaenda bila kiki bila kelele zozote! Kwangu mimi anashika no mbili kwa wasanini ninaowakubali kibongo bongo!
  10. MEGATRONE

    Je unaweza kuweka feni kwenye ceiling baada ya kufanya finishing?

    Asante! Hivi ukitoa AC na hizo feni ni kifaa gani kingine kinafaa kuregulate temperature vizuri nyumbani??
  11. MEGATRONE

    Je unaweza kuweka feni kwenye ceiling baada ya kufanya finishing?

    Asante ninachotaka kujua haitaleta damage kwenye ceiling??
  12. MEGATRONE

    Je unaweza kuweka feni kwenye ceiling baada ya kufanya finishing?

    Habari ndugu zangu Moja kwa moja kwenye mada! Kuna nyumba bi mkubwa amejenga karibuni ila changamoto ni kwamba mkoa aliojenga una joto kali sana! Nilikuwa naomba kuuliza hivi nyumba ikishafanyiwa finishing inaweza kuwekewa feni ile ya juukwenye ceiling??? Au kuna kifaa gani kingine cha...
  13. MEGATRONE

    Ni biashara gani inaweza ingiza atleast faida ya TZS 5M kama nikiwekeza TZS 30M?

    Fanya hivi mkuu utakuja kutoa ushuhuda! Nina experience ya hii kabisa! Utapata hiyo hela unayotaka bila wasiwasi!
  14. MEGATRONE

    Naombeni ushauri, nataka nizae naye tu kisha nitulie

    Huyo binti na wewe wote hamna akili!
  15. MEGATRONE

    Maji kuisha kwenye tank bila kutumiwa

    Asante kwa mchango wako mkuu
  16. MEGATRONE

    Maji kuisha kwenye tank bila kutumiwa

    Sawa asa Asante kwa mchango wako
  17. MEGATRONE

    Maji kuisha kwenye tank bila kutumiwa

    Habari zenu wakuu, Kuna changamoto imekuwa inajitokeza nyumbani naomba mawazo yenu! Home kuna tank la litre 5000 ila limekuwa likiisha maji hata kama maji hayajatumiwa! Unakuta tank tunajaza mpaka juu lakini linaisha fasta bila hata matumizi! Mvua zilinyesha kama siku 3 zimepita tank likajaa...
  18. MEGATRONE

    Various Positions (Interns) at UNFPA December, 2023

    Kuna aliyeitwa kwa interview humu?
Back
Top Bottom