Search results

  1. S

    Wanachuo MUHAS wanazimiwa AC na WiFi Ila wakiwemo wasudan zinawashwa

    Hii kali sana kweli ngozi nyeusi ni nyeusi tu.. Rafiki yangu aliepo MUHAS, katika story za hapa na pale akawa ananielezea kuwa licha ya JOTO la Dar hili lote madarasa wanayotumia kusomea na yenye WiFi huwa yanawashwa AC tu ikiwa hawa wanafunzi wageni wa SUDAN wakiwa wanafundishwa .. (ikumbukwe...
  2. S

    KERO Wanafunzi wa Diploma, Chuo cha Muhimbili-COHAS, Dar es Salaam kuzuiwa kufanya mitihani yao kisa bima za afya

    Wanafunzi wa Diploma, chuo cha Muhimbili-COHAS kilichopo Dar es Salaam kuzuiwa kufanya mitihani yao kisa bima za afya. Kumekuwepo na malalamiko ya wanafunzi kulalamika kwa kile kinachoendelea katika chuo hicho ambacho kinatoa Elimu kwa ngazi ya diploma (MUCOHAS) huku walimu wakisema maelekezo...
  3. S

    Ingekuwa vyema Usalama wa Taifa wenye umri wa 20-35,wakachomekwa kama wanafunzi wa primary na sec kuzuia viboko na uchomaji wa shule...

    Huo moyo wa kutoa taarifa utatoka wapi wakati wanajiona wao hawana kitu. Hawana mishahara... Tatizo linakuja hapo.. Ila kiukweli ngazi ya chini kabisa ya kijiji.. Ina umuhimu mkubwa sana kuzuia matukio na viashiria vya uharifu
  4. S

    Hospitali ya Taifa Muhimbili yatoa neno baada ya vitanda kuonekana nje

    Kwanza Huyo mtoto wako.. Hana maadili. Hatunzi siri za wagonjwa.. Pili mi nipo muhimbili hapa nashangaa sana kuona mwananchi wa kawaida anapotoa taarifa ambayo haijaichunguza wala kuuliza lengo LA kufanya hivyo... Anafanya hivyo ili kuzua taharuki..
  5. S

    Naombeni msaada wa haraka niokoe maisha ya baba yangu Hospitali ya Muhimbili

    anaitwa nani na muda gani alikuwa anatoa huduma hiyo
  6. S

    Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

    Una Mental illness... Grandiose Visual hallucinations Auditory hallucinations
  7. S

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    man utd 1 sherrif 2
  8. S

    Kwanini wazazi wa siku hizi wako 'obsessed' sana na ufaulu wa Division One kwa watoto wao?

    Kila kizazi kinataka kijiione kilikua bora kuliko kilichopita
  9. S

    Mapenzi yaliniumiza mpaka nikarudi shule

    Naona unatumia vyema elimu yako ya QT safi sana...
  10. S

    Kweli CRDB ni majanga

    Mkumbuke pia kwa wanaoangalia salio kwa ATM card ambazo zinauwezo wa kutoa pesa katika bank aina yeyote.. Mjue pia makato ni tofauti... Makato ya chini ukiwa una card ya CRDB lakini unatolea NBC gharama haipungui 5900/= hili suala hata wafanyakaZi wengi wa hizi bank. Hawajui kama makato pia...
  11. S

    Kweli CRDB ni majanga

    Mkuu omba bank statement itakup taarifa zlte za miamala yako gharama ni ndogo sana ukiomba unapewa
  12. S

    Kwanini wazazi wanaosomesha watoto wao chuo wasilipe ada wao wenyewe kuliko kuwapatia watoto wao

    Kuna watu mnaaandika kama hamjawai kufika chuo... chuo gani kikubalie Usome tu kabla hujamaliza ada.. yao ya muhala husika?
  13. S

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Na haoo mliowatoaa bikra nani awaoe? Mmeshiba mmepata nguvu ya kujampa
  14. S

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Watumiaji wamekuwa wachache.. thamani ya matangazo imeshuka.. lazima urudi
  15. S

    Mapinduzi Cup: Waandishi wa habari za michezo mnatia aibu,pamoja na wale wa Azam media

    Ni mjanja anaongea english ili asiulizwe maswali tatanishi
  16. S

    Salome Binti aliyehatarisha maisha yangu, baada ya miaka 8 nimekutana naye tena

    Ahahha nilitakaa kuandikaa kama wewe. Story take na ifananisha na matukio katika kitabu chake salamu kutoka kuzimu..
Back
Top Bottom