wanachuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania Kwani field wanachuo huwa tunaenda kufanya nini?

    Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kimoja hapa Tanzania. Chuo kilitupa nafasi ya kuchagua sehemu ya kufanya field kwenye account ya SIMS, nikachagua kufanya field VETA mojawapo hapa Tanzania Cha ajabu huku wametupokea lakini hakuna tunachofanya, hakuna mwenye habari na sisi. Mi...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wanachuo: Tupunguziwe boom lakina ada tulipiwe asilimia 100. Kuna mtu analipiwa laki 2 na anatakiwa kulipa milioni 1.3

    kizungumza kwenye kipindi cha Kapu Kubwa Leo, @bodaboda_mmbea amesema kuwa wanafunzi wengi na familia zao wanapata ugumu kutokana na ada kutolipiwa kikamilifu, jambo linalowalazimu kutafuta fedha za ziada ili kukamilisha masomo. Kwa mujibu wake, ni heri kiwango cha boom kitapunguzwa ikiwa hatua...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jambo hili linaumiza wanachuo wa Chuo Kikuu cha Sokoine kutakiwa kulipa ada ndani ya wiki 3 za kuanza masomo

  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanachuo wa Mwaka wa Kwanza (RADIOLOGY) Chuo cha Nkinga wamekuwa wakilipishwa pesa ambazo washalipa

    Mimi ni mmoja wa mzazi wa mwanachuo wa mwaka wa kwanza radiology kutoka Chuo cha Nkinga Health Institutes, Igunga Tabora. Kumekuwa na gharama zisizo na tija na kuzijurudia, huko nyuma wanafunzi walilipishwa hela ya field sh Laki mbili ambayo unaingiza kwenye account ya chuo baadaye hiyo hela...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amzawadia Gari Mama Kanumba

    Katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba gari jipya aina ya Harrier New Model. Hatua hii imekuja kama ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa marehemu Kanumba katika kukuza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike wa vyuoni huwa wanawahi kurudi vyuoni kwa sababu wana ndoa zinawasubiri

    Msione wanafunzi wana usongo wa kurudi vyuoni , wana ndoa zao vyuoni
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania Wanachuo Watiwa Mbaroni Kwa Kutengeza Biskuti Za Bangi, Kwa Ajili Ya HouseParty Za WanaVYUO

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imesema kati ya mwezi Septemba na Oktoba 2025, imekamata jumla ya kilogramu 10,763.94 za aina mbalimbali za dawa za kulevya, pamoja na kilogramu 6,007 na lita 153 za kemikali bashirifu katika operesheni zilizofanyika katika maeneo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha uhasibu Arusha kinawalazimisha waombaji wajiunge chuoni hapo,hakuna option ya kuahirisha maombi,na wanachagua kozi ambazo hawajaomba

    Kero Kuhusu Utaratibu wa Uchaguzi wa Kozi na Uthibitishaji wa Maombi katika Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Chuo hiki hakizingatia Maombi ya Kozi Halisi kinawachagua wanafunzi katika kozi ambazo hawajaomba rasmi,mfano Mimi niliomba Kozi ya information technology Tena maombi matatu,wao...
  9. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watumishi, wakulima, wanachuo, wanafunzi, wafanyabiasha, vijana, akina Mama, wazee, wanasiasa na sector binafsi. KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.

    Husika na mada tajwa hapo juu. Hayo makundi yote hapo juu. Kwa niaba yao nasema Asante Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 Umeyatendea haki makundi yote hapo juu na mengine ambayo sijayataja, hii ni ibada tosha kwako. Mfano baada ya Mh Rais kuongeza mshahara nadhani ametajwa kwenye kila...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Wanachuo, Vijana Msio na Kazi unaweza pata 5000-20,00+ kwa siku kutumia AI

    Hiki kizazi chetu kiko BLESSED na INTERNET. Na kwa mtu yeyote aliesoma hata form four na ana uwezo wa kuelewa lugha zote mbili, Kiswahili na English ana Advantage ya kupata kipato. Sio tu ONLINE hata kwenye maisha yetu ya kila siku mtaani. Kuna vijana wanasaidia makampuni kuuza bidhaa mtaani...
  11. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Muhimu: Aina 5 Za Simu Zinazopendwa na Vijana hasa Wanachuo Tanzania

    #mwanakidigitali najua pengine kuna muda unakuwa unapesa yako lakini unapatwa na kigugumizi sana hasa unapo fikiria simu gani unataka kununua na itakayo kufaa . Leo nitakutajia listi ya simu aina 5 ambazo vijana wengi wa Tanzania hupenda zaidi kutumia hasa kwa wanachuo wengi kwa sababu tofauti ...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanachuo kutoka NCT Kutopata Ajira serikalini kupitia Ajira Portal

    Katika jambo la kushangaza vijana wengi waliohitimu chuo Cha taifa Cha utalii wamekua na kilio kisichoisha kwani kila Ajira zinapotangazwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wao kupata kazi imekua ngumu.. kwani mfumo wa Ajira (Ajira portal) unawakataa na hii imekuwa kilio Cha wazazi walio wengi...
  13. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vijana waliomaliza form6 au wanachuo Tufanye nao kazi

    Vijana 6 wakufanya nao kazi SMARTWORK Kazi yao itakua ni kuniletea wateja wa internet bundle Tutalipana hapo hapo. Malipo ya juu 30,000 kwa siku Maripo ya chini 10000 kwa siku Kama upo tayari niandikie mawasiliano yako hapo chini Mawasiliano yyte kama email Simu Acc ya social media Au yute...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiliba: Matatizo ya wanachuo yameisha kipindi cha Rais Samia

    Kwani Wanachuo wenyewe mnasemaje? Rais wa TAHLISO Geofrey Kiliba akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu maslai wanayopata wanachuo kwa kipindi hiki cha awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
  15. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Haya mnayoyaona ya wanachuo kupigania bwana ni matokeo ya kutegemea G.PA za" chupi"

    Tumeona kiongozi mkubwa wa serikali akionyesha kutopendezwa na Yale yaliyotokea vyuoni , baada ya wanavyuo kupigana na kudhalilishana mitandaoni huku ikisemekana wanamgombea bwana wao Mwijaku....laiti kama hawa wanafunzi wangekuwa wanatambua kilichowapeleka chuoni wasingekuwa na muda wa...
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wanachuo wavivu, wajanjawajanja wasio nanidhamu na kilichowapeleka chuo ndio wanapelekea wenzao waambiwe warudi VETA

    Ukisoma chuo kwa kumaanishaha huwezi kuhitaji Kwenda VETA unahitaji kuwatumia vijana wa VETA kutengeneza ajira. Hiki nadhani ndio kinatakiwa kusisitizwa. Ubongo wa mtu aloyepitia chuo kwa kumaanisha unauwezo mkubwa kuliko wakufunzi wote wa VETA na wanafunzi wao. Nimeona CHUO mtu anapewa...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Janabi hujaliona hili? chuo chetu kikuu hakiruhusu wanachuo kuingia na maji ya kunywa maktaba

    Kuna taratibu zingine ukizikuta unaanza kujiuliza hawa waliwaza nini? Kwa aina ya viongozi waliopo pale chuoni kwetu sina shaka wote wanajua umuhimu wa kunywa maji kila wakati ili Ubongo ufanye kazi vizuri. Sasa inakuaje mwanafunzi anaingia maktaba anakatazwa kubeba maji ya kunywa na kule...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya mikopo kupitia app yao mpya imekuwa changamoto kwetu wanachuo kusaini malipo ikiwa ni ada pamoja hela ya kujikimu

    Kwa hali hayo tumeshindwa kusaini malipo hayo na kupelekea kuexpire baada ya muda fulani na kushindwa kupata pesa hizo hivyo tunaomba mamlaka kufuatilia ikiwezekana kuturudishia app tuliyokua tunatumia mwanzo maan hiyo haikua na shida yeyote baada kuapdate hii mpya ndo tunakutana hizo changamoto
  19. J

    JamiiForums Tanzania Namna ya kusign pesa za heslb kwa wanachuo

    Nimesign boom Jana ya awamu ya kwanza baada ya ku appeal Sasa kwenye lo verification imekuja Moja na kwenye failed imeandika Moja apo wasiwasi wangu kwenye failed.lakin message nimetumiwa uku kuwa installment imekamilika niende ku confirm kwa loan officer apa ndo nataka nijue ili niende na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wanachuo na vyumba/chumba cha kupanga

    Maisha ya chuo/college yanahitaji kujipanga ili kukabiliana na changamoto, kama wahenga wanavyosema changamoto ni kipimo cha akili. Miongoni mwa changamoto hizo ni chakula na malazi/makazi/accomodation (Sio maradhi wapendwa😊). Kwenye issue ya chakula mambo yakiwa magumu mkombozi ni mihogo...
Back
Top Bottom