Search results

  1. S

    SoC02 KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025: Tume huru ni muhimu kuliko Katiba mpya?. (Katika mtazamo wangu)

    Utawala bora unajengwa kwa kuwa na katiba imara na madhubuti, inayoendana na wakati. Katiba yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ni miongoni mwa katiba kongwe ambayo pasi na shaka yako mambo kadha wa kadha yanayohitaji mabadiliko ya haraka sana. Hili linajidhihirisha kupitia mapendekezo...
  2. S

    SoC02 Ukosefu wa ajira unavyotoa fursa kwa wapigaji (matapeli)

    Ndio maana kwenye andiki langu nimesema ni nyema neno ajira litafsiliwe katika upana wake ili kuleta uelewa kwa watu kuwa ajira sio razima uajiliwe na serikali ama taasisi fulani bali ni kubadili changamoto kuwa fursa ya ajira
  3. S

    SoC02 Ukosefu wa ajira unavyotoa fursa kwa wapigaji (matapeli)

    UKOSEFU WA AJIRA UNAVYOTOA FURSA KWA WAPIGAJI (MATAPELI) Kila mwaka vijana maelfu kwa maelfu wanahitimu vyuo vya kati pamaoja na vile vya elimu ya juu. Kundi hili ni wale wahitimu wa fani mbalimbali kama vile mafundi, walimu, madaktari, wahasibu, mahakimu, nakadharika. Wahitimu hawa, wanahitimu...
  4. S

    Natafuta rafiki wa kiume

    COME THROUGH 0672781355
  5. S

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    May his soul rest in peace!
  6. S

    NECTA Yabadilisha Viwango vya Ufaulu Form 6, DIV I Mwisho point 7

    Wamewauwa wengi, inakuwaje haya yaje baada ya form six kufanya mitihani?. au ndo kuwabana wanafunzi wapitikane wachache kwa kuwa mfuko wa roan ni mdogo? why amendmend daily?
  7. S

    Unaelewa nini juu ya hii theme?

    "STANDARDS LEVEL THE PLAYING FIELD" Unapata picha gani juu ya hiyo nukuu hapo juu?
  8. S

    Natafuta mchumba

    Nimemaliza chuo mwaka huu na nimeshapata kazi tayari. Naomba dada mwenye umri wa chini ya miaka 25 aliyetayari kuolewa na anajijuwa ni mzuri awasiliane nami kupitia chandesamwely@gmail.com
  9. S

    Kwa mwenye tetesi kuhusu matokeo kidato cha nne 2013 yanatoka lini naomba anijuze.

    Suala la kusema yanatoka lini usidanganywe ndugu yangu hakuna anaejua hiyo ni siri ya necta wenyewe na huwa haivuji hata kidogo. ila itakumbukwa kuwa hapo mwanzo yalikuwa yakitoka mwishini mwenzi wa1 au mwanzoni mwa mwezi wa pili kwa kuwa mtihani ulikuwa ukifanyika mwezi wa 10. Lakini ulisogezwa...
  10. S

    natafuta msichana wa kuanza nae mahusiano badaae ndoa.

    mm kijana wa miaka 23.
  11. S

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    +255719499290 plz come to me
Back
Top Bottom