Natafuta rafiki wa kiume

Urafiki huwa hautafutwi kama kitu kilichopotea, huja automatically kutoka ni certain circumstances e.g shuleni, udogoni, michezoni, safarini etc.
Ukitaka urafiki wa kuomba huo utakua sio urafiki bali una personal interest za kumhitaji huyo rafiki.
Anyway nisiongee mengi niko sakina ( Arusha) ni pm.
 
Habari zenu wanajamvi

Natafuta rafiki wa kiume kwa ajiri ya kubadilishana mawazo mbali mbali niko mpweke sana na nina mawazo lukuki. rafik nimtakae awe na mika 26 na kuendelea awe ameo au hajao anakaribishwa kwan me namuhitaji kwaajiri ya urafik na sio mahusiano. Akitokea pande za kaskazin itapendeza zaidi.

Ahsanten
Interesting choice ,thought you were more a Scotch on the rocks kind of girl!!
f9243dfbce9fb886292f173a207f2dfd.jpg
 
Utapeli upo ktk kipengele gan ktk nyuz hiz mbili au unakulupuka tuh ku-coment endelea kunifatilia
Inaonyesha dhahiri tabia ya mtaani kwako changamoto kwa majibu haya ndo maana umekuja huku

Haya mi mvumilivu wa tabia kama izi nitakuja pm najua utanikataa kwa sababu nimetangulia kukuponda kuwa we mchunaji naomba unipokee
 
Habari zenu wanajamvi

Natafuta rafiki wa kiume kwa ajiri ya kubadilishana mawazo mbali mbali niko mpweke sana na nina mawazo lukuki. rafik nimtakae awe na mika 26 na kuendelea awe ameo au hajao anakaribishwa kwan me namuhitaji kwaajiri ya urafik na sio mahusiano. Akitokea pande za kaskazin itapendeza zaidi.

Ahsanten
COME THROUGH 0672781355
 
uzoefu unanionyesha mara nyingi tunaishia kuharibu tu na ujinga wake mapenzi yanakatikia wakati mwingine kakolea huwa haina mwisho mzuri sana.
 
Habari zenu wanajamvi

Natafuta rafiki wa kiume kwa ajiri ya kubadilishana mawazo mbali mbali niko mpweke sana na nina mawazo lukuki. rafik nimtakae awe na mika 26 na kuendelea awe ameo au hajao anakaribishwa kwan me namuhitaji kwaajiri ya urafik na sio mahusiano. Akitokea pande za kaskazin itapendeza zaidi.

Ahsanten
Vipi hutaki ADUI wa kiume ?
 
kwenye umri tuna tengana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom