Tunakupa Notes za secondary zilizo katika format ya PDF kwa bei nafuu sana.
1. Notes tumeziandaa wenyewe.
2. Tumezingatia syllabus katika kuziandaa kwa hiyo Topic zote zipo.
3. Kwa upande wa Geography na Biology michoro, diagram na picha zote zipo kukufanya uelewe kirahisi sana masomo hayo.
4...
Swali zuri sana boss.
Unajua sisi ambao hatuna experience, linapokuja suala la salary huwa hatuna ujanja sana kwenye mazungumzo maana hatuwezi kudai mshahara wa mtu mwenye experience. Na wenyewe huwa wanatuchukua kwa sababu wanajua hatuwezi kudai hela nyingi.
Mshahara sio ule nilioutarajia...
Ndio kwa upande wangu mimi nimeona magroup ya ajira kuna baadhi nimeona unatakiwa utoe angalau kama sio 2000 basi 3000 ili ujiunge. Ila yakujiunga BURE nayo yapo pia!
Huwa wana fanya kwa sababu mbili.
1. Huwa wanafanya ku-promote biashara yao. Wanajua wakisema wanahitaji wafanya kazi basi watatengeneza awareness flani katika jamii kuwahusu.
2. Wanafanya ili kutimiza sheria na taratibu. Naskia (sijafanya utafiti) wanatakiwa na sheria na taratibu kutangaza...
Mtu anaweza kujiunga na group lolote lile, magroup yapo mengi sana. Kuna ajirachap, ajira na biashara, uwanja wa ajira. Ila mimi nimejiunga kwenye ajirazone maana wao hawakusema kwamba kuna kutoa hela kujiunga kwenye group lao.
Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamehangaika sana kutafuta ajira. Nimekaa miaka 2 mtaani mpaka nilipokuja kupata ajira mwaka huu.
Kuna websites huwa zina matangazo ya ajira. Sitaki kuzitolea mfano maana sitaki kuchafua website yoyote. Na lengo la hii post sio kuchafua website yoyote ila kushare...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.