Search results

  1. B

    Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

    Ok M A Education management and administration Nimekuelewa miuu True
  2. B

    Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

    Nilisoma udom, ok nashukuru kwa ushauuri mkuu
  3. B

    Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

    Ni Lisoma udom, nimesikia tetesi kuwa udom eti unapewa supervisor 02 ambao kila mmoja anakushauri tofauti.
  4. B

    Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

    Master ya education Management and administration
  5. B

    Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

    Wakuu naomba ushauri tajwa hapo juu nisije shindwa ku graduate masters kwa wakati
  6. B

    Mungu Yuko wapi?

    Amina
  7. B

    Yupo wapi Mbunge Christopher Ole Sendeka?

    Job Ndugai mbunge wa Kongwa pia haonekani kbs
  8. B

    Yupo wapi Mbunge Christopher Ole Sendeka?

    Ni mbunge ila haonekani kabisa bungeni
  9. B

    Gari kuwa na Miss

    Kiukweli mi mwenyewe sijawahi osha,fundi akanishauri tuoshe ili kujua sehemu ambapo oil inavuja mkuu kwenye engine
  10. B

    Gari kuwa na Miss

    Kuondoa uchafu mkuu
  11. B

    Gari kuwa na Miss

    Wakuu naombeni msaada nifanye Nini kuondoa mis kwenye gari ya Suzuki Swift old model 2001 ilianza baada ya kuosha engine. Fundi amenishauri nibadilishe plug, pump lakini bado miss ipo vilevile. Naombeni ushauri wakuu === Buju Tafadhali Soma Jua tofauti ya Unleaded na Super/Premium Unleaded Petrol
  12. B

    Hongera Wananchi kutengeneza barabara za mitaa Mwanzi Manyoni

    Wananchi wa kitongoji ya Mwanzi mtaa wa mlimani leo wamejitokeza kwa wingi kutengeneza barabara ya mtaa ili kuweza kuondoa tatizo ya ukosefu wa barabara inayosababisha wakina Mama wajawazito kushindwa kupelekwa hospitalini. Rai yangu serikali iwashike mkono Wananchi wao kwa kuwachongea barabara...
Back
Top Bottom