Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

Nenda Jordan, chuo hiki ni chuo ambacho watu wengi hawajui tu lakini ukweli ni kwamba, ni moja ya vyuo vinavyotoa elimu bora nchini. Hawana mbambamba kama vyuo vingine, kwanza madarasa yana watu wachache wmbao walimu wana uwezo wa kuyamudu.

Wewe fuatilia tu wanafunzi wachache tu waliosoma kwenye hicho chuo, huwezi walinganisha na waliosoma UDOM, mfano UDOM, UDSM, MZUMBE, SUA madarasa yao yanafurika watu hadi kusoma kwao kunakuwa taabu wanamaliza wakiwa na elimu nusu nusu.

Ukienda Jordan uwe umejiandaa kusoma kwa sababu hakuna vipindi vinavyopotea bure.

Mimi siku zote naamini madarasa yenye watu wachache na walimu mahiri ndiyo msingi wa utoaji elimu bora.
 
Umemfafanulia vizuri sana kazi kwake sasa
 
Uhitimu Kwa miez 18 nenda Jordan na kuhitimu Kwa miez 36 nenda vyuo vya wanonko aka umma. Tutakupiga rula mpaka uchakae
 
Mapichapicha yanaanza baada ya kumaliza coursework
Mara thesis haionekani
Mara ulituma softcopy imepotea mm email ziko nyingi Naomba hardcopy
Unapeleka
Baada ya miezi
Hivi thesis yako ulimpa nani mm siioni unaitwa nani fulani kama ni ile tafuta tittle nyingine ile hamna kitu
Watu huwa wanalia kabisa
Eti vyuo vikongwe mpaka leo havina mfumo wa kusoma masafa marefu sababu ya ukuda
Vizuri kwenda nje tu nje supervisor ukianza tu mnaongea nae kama mwanafunzi ukipata changamoto anasikitika sana na anajitahidi kukupa hamasa zaidi umalize
Sasa afrika hiyo hela bora ukanunue mashamba tu
 
Back
Top Bottom