Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

Ni

Lisoma udom, nimesikia tetesi kuwa udom eti unapewa supervisor 02 ambao kila mmoja anakushauri tofauti.
Huko Kuna masikini wengi Sana so uwiano utakataa kubalance.
Masters ni tofauti na bachelor, wapo watu mchanganyiko ambapo baadhi yao ni waajiriwa wa taasisi mbalimbali.

Lakini hata ngazi za chini, nako kuna watoto wa vigogo pia. Kulikuwa na tetesi kuwa mmoja wa watoto wa "mkubwa" fulani alishawahi kusoma hapo. Na huyo alifahamika kirahisi kwa vile mzazi wake alikuwa maarufu.

Kuna vigogo wasio maarufu, watoto wao wanasoma huko.
 
Ok
Masters ya nini?
M A Education management and administration
Masters ni tofauti na bachelor, wapo watu mchanganyiko ambapo baadhi yao ni waajiriwa wa taasisi mbalimbali.

Lakini hata ngazi za chini, nako kuna watoto wa vigogo pia. Kulikuwa na tetesi kuwa mmoja wa watoto wa "mkubwa" fulani alishawahi kusoma hapo. Na huyo alifahamika kirahisi kwa vile mzazi wake alikuwa maarufu.

Kuna vigogo wasio maarufu, watoto wao wanasoma huko.

Bachelor ulichukulia wapi?

Kama ni Chuo cha umma basi safari hii uende private and vice versa, lakini usiuamini sana ushauri wangu.
Nimekuelewa miuu
Masters ni tofauti na bachelor, wapo watu mchanganyiko ambapo baadhi yao ni waajiriwa wa taasisi mbalimbali.

Lakini hata ngazi za chini, nako kuna watoto wa vigogo pia. Kulikuwa na tetesi kuwa mmoja wa watoto wa "mkubwa" fulani alishawahi kusoma hapo. Na huyo alifahamika kirahisi kwa vile mzazi wake alikuwa maarufu.

Kuna vigogo wasio maarufu, watoto wao wanasoma huko.
True
 
Udom sio chuo Kama unahitaji kukutana na watu makini Soma Jordan ,Tumain na kidogo ifm vyuo vya serikali kuna masikini wengi sana so ningumu kubadilishana mawazo .
 
Ni

Lisoma udom, nimesikia tetesi kuwa udom eti unapewa supervisor 02 ambao kila mmoja anakushauri tofauti.
Umethibitisha kama hiyo taarifa ni kweli? Ujue kuna watu ni "much know", anaweza akakuelekeza jinsi ya kurusha ndege wakati hata ndege hajawahi kuiona. Kwa hiyo, AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.

Na kama pia kuna hiyo changamoto, haitakuwa imekuzidi kisogo. Kama wengine waliweza kukabiliana nayo wakaishinda, haikupasi wewe kushindwa. Itakuwa ni namna mojawapo ya kuthibitisha kuwa umeelimika na siyo umekaririshwa.

Lakini kwa kuwa ni UDOM ndiko ulikochukulia bachelor, masters kachukulie kwingine. Experience the difference!
 
Back
Top Bottom