Search results

  1. Papaa Azonto

    Nafasi ya kazi kwa Waandishi wa kujitegemea -Wepostnow

    Wepostnow tuunatafuta waandishi wa kujitegemea kujiunga na timu yateu.Utaweza kupata hadi kiasi cha shilingi 460,000 kila mwezi (200$). Wepostnow inakupa nafasi ya kuandika kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza. Pia mfumo wetu unakupa nafasi ya kufanya kazi muda wowote ule kupitia simu yako ya...
  2. Papaa Azonto

    Inasikitisha sana

    The photograph is by Alice Seeley Harris, the man’s name is Nsala. Here is part of her account (from the book “Don’t Call Me Lady: The Journey of Lady Alice Seeley Harris”): He hadn’t made his rubber quota for the day so the Belgian-appointed overseers had cut off his daughter’s hand and foot...
  3. Papaa Azonto

    Lethal Gold in Tanzani-RAID

    Katika pitapita zangu youtube nimekutana na hii makala ikielezea unyama unaofanywa na walinzi wa mgodi wa North Mara kwa wakazi wanaozunguka mgodi huo. Bofya hapa chini kutazama hii makala.
  4. Papaa Azonto

    VIDEO: Hivi ndivyo askari wa Msumbiji wanavyowafanya Watanzania

    Nikiwa natazama habari asubuhi ya leo, nimekuta na hii habari ya watanzania waishio Msumbuji. Dada huyu anaelezea namna askari hao wanavyo wafanya baadhi ya wanawake wakitanzania. Bofya chini kutazama hii video clip. source CH 1O.
  5. Papaa Azonto

    Kiswahili ni chanzo cha uvivu na kufikiria?

    Wanajamvi. Leo katika kupita zangu page ya Simu.TV ya youtube nimekutana na hii mada ya Kiswahili na uvuvi wa kufikiri na kutenda. Mtafiti huyu amesema amefanya utafiti ndani na nje ya nchi kuhusu hili na alichogundua kuwa watumiaji wa kiswahili ni wavivu wa kufikiri na kutenda. Case study...
  6. Papaa Azonto

    Alphonce Mawazo Trust Fund bado ipo?

    Habari wanabodi. Zikiwa zimepita siku 14 toka wafuatiliaji wa masuala ya saisa, na wanasiasa hasa wanachama wa CHADEMA kuadhimisha mwaka mmoja toka mwanachama na mgombea ubunge jimbo la Busanda, Marehemu Alphonce Mawazo auawe kikatili huko mkoani Geita na watu wasiojulikana, naomba kufahamu...
  7. Papaa Azonto

    ROTARY KLABU KUTOA HUDUMA ZA AFYA BURE BAGAMOYO

    Klabu ya Rotary ya Oyster Bay kwa kushirikiana na benki ya Diamond Trust Tanzania (DTB) wameandaa kambi ya matibabu ya bure itakayofanyika tarehe 27 November mwaka huu katika shule ya msingi Kerege wilayani Bagamoyo.Vipimo na matibabu yatatolewa ni pamoja na malaria, upungufu wa damu, kisukari...
  8. Papaa Azonto

    My playlist (TBT)

    Weekend yangu inaisha kwa kutazama hizi ngoma zilizobamba miaka ile..................... karibu tuenjoy.
  9. Papaa Azonto

    Picha ya usiku wa leo

    Hakika haka katoto kameshusha kama si kuumbwa. hizi picha nikizitazama nasema hajaniendelee kula matoeleo ya 3. Kanaitwa ka Kylie Jenner kametimiza miaka 19 hivi karibuni.
  10. Papaa Azonto

    The Life and Death of CIA Asset Saddam Hussein

    KUZALIWA NA KUFA KWA CIA WA ZAMANI WA MAREKANI SADDAM HUSSEIN -Mwaka 1959 Sadam Hussein alielekea Misri baada ya kushindwa mapinduzi ya kumuondoa rais General Qassim. -A lipokuwa Cairo Misri inadaiwa Saddam Hussein kutembelea ofisi za ubalozi wa marekani na kukutana na CIA mara kadhaa kwa...
  11. Papaa Azonto

    AACP Marketing and Communication officer

    Kuna Mtu aliyeitwa kwenye usahili wa hii post ya marketing and communication officer katika NGOs ya Agape aids control programme based in shinyanga. Kama yupo naomba ani PM tute jambo
  12. Papaa Azonto

    Kaka wa Obama Atangaza kumpigia kura Donald Trump

    Mr. Trump is providing something new and something fresh': Obama's half-brother Malik announces he is voting for The Donald Malik Obama has announced he is voting for Republican Donald Trump His brother, President Barack Obama, has publicly backed Democrat Hillary Clinton in the race Malik...
  13. Papaa Azonto

    Is Putin trying to 'weaponize' Wikileaks to get Trump into the White House? Clinton campaign claims

    Is Putin trying to 'weaponize' Wikileaks to get Trump into the White House? Clinton campaign claims hackers linked to Russian government leaked DNC emails Hillary Clinton's campaign claims Russians hackers attacked Democratic National Committee computers to help elect Donald trump Campaign...
  14. Papaa Azonto

    Jibu kutoka kwa loan officer's

    Hatimaye ma loan officer wamejibu[emoji3][emoji3] 1. Watu hawaoshi magari kila siku, maana sio mwili wa binadamu ule kila siku uoge. Mara nyingi watu huosha magari wikiend. Tena huwa hawako kazini, so huyo kijana atakuwa hana kazi wikiend maana hatuendi kazini. 2. Wanaosha katikati ya wiki ni...
  15. Papaa Azonto

    Kwa wanaume tu

    HERE ARE THE REASONS WHY A SERIOUS MAN MUST NOT MARRY THESE WOMEN: POLICE WOMEN, NURSES, LAWYERS, TV NEWS ANCHORS/PRESENTERS AND POLITICIANS. When it comes to good wives, there are careers you should not consider marrying women from. There are shocking reasons why police women, TV news...
  16. Papaa Azonto

    USAFIRI WA KUELEKEA KIGAMBON BRIDGE.

  17. Papaa Azonto

    Mwonekano mpya wa barabara

  18. Papaa Azonto

    Ngumu kuuacha mchezo huu

  19. Papaa Azonto

    Alichokifanya Jamal Malinzi huko Twitter

    Katika hali ya kushangaza Rais wa TFF , Jamal Malinzi ameweka bandiko la msimamo mpya wa ligi iki na nembo ya NAIPENDA YANGA . Nembo hii iko katika hali ya watermark.
  20. Papaa Azonto

    U.S. student detained in North Korea confesses to 'hostile act

    The parents of Otto Frederick Warmbier, an American college student detained in North Korea, are "greatly relieved' now that they've seen pictures of him for the first time in nearly two months. "We had not heard from him during these many weeks, so you can imagine how deeply worried we were...
Back
Top Bottom