Duh! Yani ukiniambia nichague kati ya huyo mwanamke na hiyo piki piki, naichukua hiyo piki piki... Yani hiyo ngoma naipenda kinoma. Nikiipata hiyo, naamka saa mbili kasorobo, na saa mbili kamili nakuwa ofisini kwangu posta, Nikitokea Mbezi Makabe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.