Alichokifanya Jamal Malinzi huko Twitter

Papaa Azonto

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
319
277
Katika hali ya kushangaza Rais wa TFF , Jamal Malinzi ameweka bandiko la msimamo mpya wa ligi iki na nembo ya NAIPENDA YANGA .
Nembo hii iko katika hali ya watermark.

d417b8731eab509ef02327541a2ce537.jpg
 
Wamchangani mnachekesha kweli kweli!
Leo mmesahau magori na el maalim jinsi walivyo inyanyasa yanga kwa kutumia marungu waliyokuwa nayo FAT na CAF?
 
Mleta maada sijui unachokizungumzia nini? hapo msimamo au ulitaka simba iwe na na mstari mweupe au red sijakuelewa nijuze ndg
 
Wamchangani mnachekesha kweli kweli!
Leo mmesahau magori na el maalim jinsi walivyo inyanyasa yanga kwa kutumia marungu waliyokuwa nayo FAT na CAF?

Umemsahau na my friend Mhe. KAPUYA wakati huo akiwa waziri anayehusika na michezo.
 
Dah...sawa bwana wao ndio wameshika mpini zamu yao itakuja tu..
Huyu sio kiongozi wa mpira bali ni wa yebo yebo na yupo pale kwa mission maalumu ya kuwabeba yeboyebo na kuifitinisha Mabingwa wa kihistoria Simba
 
Nje ya mada :Msemaji wetu Haji Manara anaendeleaje? Make juzi kati nilisikia alipata ajali.
 
Kuna page kule Facebook inaitwa NAIPENDA YANGA ndio waliweka huo msimamo Jana jioni. Nadhani ndio aliikopi kama ilivyo Na kuipesti huko Twitter Na ukiikopi jina la page halitoki....!!!
 
Kuna page kule Facebook inaitwa NAIPENDA YANGA ndio waliweka huo msimamo Jana jioni. Nadhani ndio aliikopi kama ilivyo Na kuipesti huko Twitter Na ukiikopi jina la page halitoki....!!!
Rais anakopi duh
 
Back
Top Bottom