Papaa Azonto
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 319
- 277
Hatimaye ma loan officer wamejibu

1. Watu hawaoshi magari kila siku, maana sio mwili wa binadamu ule kila siku uoge. Mara nyingi watu huosha magari wikiend. Tena huwa hawako kazini, so huyo kijana atakuwa hana kazi wikiend maana hatuendi kazini.
2. Wanaosha katikati ya wiki ni wachache, so huenda akajitahidi sana akaosha magari matano hadi saba kwa siku za kazi
3. Watu hatufanyi kazi siku 30, kuna siku 8 hapo za wikiend, so zinabaki 22.
4. Akiosha magari 7 kwa siku(maximum) kwa shs 3000 kila gari, atakuwa anaingiza 21,000 na zile tip anaweza pata hadi 25,000
5. Sawa amekula chakula kwa hiyo shs 800, hapo bado kuna nauli ya anapotoka, anaweza kuwa anatoka gongo la mboto, mbagala, mabwepande. Naweka shs 2000 kwa siku. Tayari ana matumizi ya shs 2800 kwa siku
6. Utakuta huko nyumbani ana watoto watatu, wote wanasoma. Weka nauli zao, weka kiasi anachoacha nyumbani. Natoa elfu 10 hapa kwa matumizi hayo
7. Katika zile siku 22 alizofanya kazi, kwa kipato cha shs 25,000 kwa siku. Mwisho wa mwezi jumla atakuwa ameingiza shs 550,000
8. Alitumia shs 800x22 kwa chakula jumla shs 17,600, nauli 2000x22 jumla 44,000. Matumizi ya nyumbani elfu 10,000x22 jumla shs 220,000. Kwa hayo tu, jumla ni 281,600 ambayo approxmately ni shs 300,000 kwa mwezi. Hapo sijaweka kuna ndugu zake wanamtegemea pia
9. So katika shs 550,000 tukitoa shs 300,000 anaweza kubaki na shs 250,000. Hapo naye unakuta anakunywa, anavuta sigara, na ana vimchepuko vyake vya uswahilini ( all risks anazo). Sijui anatumia ngapi, nafanya shs 4,000 kwa siku kwa vyote hivyo, sigara 5 kwa siku shs 1000, bia moja shs 2,500 na mchepuko shs 500 kwa siku( na sijui kama huo mchepuko utakubali kupewa hiyo jero kwa siku labda uwe ule wa chura anaruka ruka) then shs 4,000x siku 30, jumla shs 120,000.
10. Aaah, nilataka kusahau, kumbe hana nyumba, amepanga vyumba viwili kule uswahilini, kodi kwa chumba kimoja shs 30,000 jumla shs 60,000. Mpaka hapa shs 250,000 iliyobaki toa shs 180,000( 120,000 jumlisha 60,000 ya kodi) inabaki shs 70,000.
11. Mpaka hapo ana shs 70,000 akijatahidi sana kusave, sasa weka hapo kuna mama ake, dada ake anasoma, kuna ndugu yake naye hana lolote sometime anamsadia, sijui kama ataweza kusave hiyo shs 70,000 kwa huo mwezi. Na tusidanganyane hapa, tuliokulia uswahilini tunajua, huwa hatunaga kusave for tomorrow. What we get we spend it, we get it spend it like arabs.
12. Aisee shs 2,700,000 kwa mwezi ni nyingi, miaka miwili tu, angekuwa ana nyumba, gari na biashara yake aache kuosha magari. Ila tunawajua, vyote hivyo hawana. Ndo maana hawaachi kuosha magari.
13. Hapo na hiyo hela sio ya uhakika, means akipata dharura asipotokea, hiyo hela hapati. Loan officer hata akiumwa laki saba na nusu yake ni pie.
14. Maisha sio ma-president kihivyo, shs 750,000 ya uhakika inaweza fanya mengi kuliko isiyo na uhakika
15. Nitarudi kwa benefit anazopata huyo loan officer.
Loan officer 2016