VIDEO: Hivi ndivyo askari wa Msumbiji wanavyowafanya Watanzania

Papaa Azonto

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
319
277
Nikiwa natazama habari asubuhi ya leo, nimekuta na hii habari ya watanzania waishio Msumbuji. Dada huyu anaelezea namna askari hao wanavyo wafanya baadhi ya wanawake wakitanzania. Bofya chini kutazama hii video clip. source CH 1O.
 

Attachments

  • Watanzania Waishio Msumbiji.mp4
    2.9 MB · Views: 55
Sasa mbona umeisqeez sana hiyo video hadi imepoteza maana! Video ya sekunde 5 utaekewa nini hapo?
 
Back
Top Bottom